Eggy Muffy
Senior Member
- Oct 31, 2014
- 151
- 38
Hivi babaake John Nyerere kafia wapi vile?Angekuwa Rizimomo tungesikia kafia Paris au Usa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi babaake John Nyerere kafia wapi vile?Angekuwa Rizimomo tungesikia kafia Paris au Usa!
poleni sana. hivi Yeriko nyerere ni mtoto wa nani kati ya hao nyerere jamani?
Andrew Nyerere na Yericko Nyerere: Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.
Aliwahi kuulizwa humu JF Andrew Nyerere kuhusu kumfahamu Yericko Nyerere, alisema hamjui wala si katika familia ya Mwl Nyerere.
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katikati kwenye picha.
![]()
Swali ni je kanisa katoriki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.Poleni sana yericko nyerere pamoja na familia nzima
mhuuuuu......... Yericko Nyerere pole sana
Andrew Nyerere na Yericko Nyerere: Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.
kwahiyo yeriko sio ndugu wa akina nyerere?
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.
Hawa ni WAZANAKI na Huyo Yericko ni MUHEHE.
Huyu Yericko ni Msanii tu. Hana llt.