Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lazima aingie mtu mpya paleSitakaa nikaze fuvu kutetea hawa watu hapana kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima aingie mtu mpya paleSitakaa nikaze fuvu kutetea hawa watu hapana kwa kweli
Upepo mmeelekezea chadema, mmesahau ccm inatupigaHii kitu Mbowe itamchafua sn bora angekaa pembeni kabisa wananchi watapoteza imani na chama
Hata Jengo la Makao Makuu ya Chadema mmepigwa Cha Juu tsh 600million 😂😂Hii kitu Mbowe itamchafua sn bora angekaa pembeni kabisa wananchi watapoteza imani na chama
Na huu ndio uanaume,kusimamia unachoamini(katika msimamo chanya).Siyo ukionyeshwa wekundu basi unakikana unachokiaminiWatu wa system wanamuogopa balaa sababu hahongeki
Both side kuna matapeli tupuSaa100 anatupiga, mnajisahau mnasema chadema,inapiga fedha!🤣
Asipo ingia mpya hakuna namna ya kukikataa tu mazimaLazima aingie mtu mpya pale
CCM tangu Uhuru Hadi Leo😭Both side kuna matapeli tupu
Bora upige cha juu kazi ionekane kwa lile jengo mimi sina shida shida yangu ni ruzuku ya 2010-2020 ilikuwa ni kubwa snHata Jengo la Makao Makuu ya Chadema mmepigwa Cha Juu tsh 600million 😂😂
sahihi kabisaAsipo ingia mpya hakuna namna ya kukikataa tu mazima
Ukombozi ulianzia Nazareth 😂Upepo mmeelekezea chadema, mmesahau ccm inatupiga
Chama ni cha Mzee Mbowe ,poleni sana mkiopotea njia bila kujuaKuna chawa wa Mbowe wanakiharibu sn chama chetu
YapNa huu ndio uanaume,kusimamia unachoamini(katika msimamo chanya).Siyo ukionyeshwa wekundu basi unakikana unachokiamini
CCM ya matapeli ilianza kipindi cha Mkapa mpk leoCCM tangu Uhuru Hadi Leo😭
CCM kuna mafisadi zaidiChama ni cha Mzee Mbowe ,poleni sana mkiopotea njia bila kujua
Abdul na Mcherengwa , Riziwan.. , wanachotufanyia ni SAWA na kutunyongaCCM ya matapeli ilianza kipindi cha Mkapa mpk leo
Daah! Kama kweli Mbowe ni Zumaridi mwingineHata Jengo la Makao Makuu ya Chadema mmepigwa Cha Juu tsh 600million 😂😂
CCM kuna mafisadi zaidi
Kwani wakati wa Magufuli kauliwa nani?Ila hakuuliwa aliachiwa akasepa zake
Alfonce Mawazo!Kwani wakati wa Magufuli kauliwa nani?