Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Siasa za You tube hizo hazijawahi wasaidia chadema,wenzenu wako site nyie mnaleta porojo za mitandaoni 👇

 
Level ya ubunifu wa CHADEMA ndio tatizo. Tatizo sio Mbowe ama Lissu. Tatizo ni ubunifu ambao wamewaacha wanachama wao kutumia.
Kuchagua technolojia vs analogue
 
Level ya ubunifu wa CHADEMA ndio tatizo. Tatizo sio Mbowe ama Lissu. Tatizo ni ubunifu ambao wamewaacha wanachama wao kutumia.
Kuchagua technolojia vs analogue
 
Mbona kama wapo kwenye kibanda umiza wanaangalia mechi ya Arsenal vs Wolvermptom?
Na wangekuwa kwenye ukumbu mzuri ungesema picha ya kuunga hao wanamsikiliza rais huko dubai.

👉🏾 There's no sweet issue to afrikan untill redemption!.
 
But join the chain ni kitu gani? CHADEMA wametangaza sana, but wakiulizwa hawajibu.
Walikuwa Hawajui bi kitu gani baada ya kuingia ndio wanakuta michango nahisi bada ya hapo wataenda wanapungua kukimbia michango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…