Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa


Kama haya matukio toka sehemu zote ni ya kweli, basi kumbe ni halali CCM na serikali yao kuwa na hofu na hatima yao dhidi ya CHADEMA kiasi cha kutumia njia za kimafia kujaribu kuwazuia/kuwadhibiti

Njia wanazotumia CCM kupambana na CHADEMA ni sawa na mwehu mmoja anayejaribu kuzuia maporomoko ya mto kwa mikono!

Tundu Lissu yuko Ubelgij, anahutubia kwa zoom video conference. Cha ajabu maelfu wamejitokeza kumsikiliza ktk kumbi mbalimbali nchini kote.

Huyu MTU influence yake kwa watu no kubwa sana.
 
Sema mtoa mada nlkua nakuheshimu sana kumbe bure kabisa..yaan huo ndo mkutano mzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kama kikao Cha wazazi wa wanafunzi wa chekechea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sema mtoa mada nlkua nakuheshimu sana kumbe bure kabisa..yaan huo ndo mkutano mzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kama kikao Cha wazazi wa wanafunzi wa chekechea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umefuatilia Join the chain , au hata ulijua ni nini ?
 
Hakuna hata moja la uongo
 
Strategy nzuri sana hii Chadema mabingwa wa UBUNIFU...kweli technology ni kitu INGINE
 
Kwani unadhani Ni uongo, unadhani CCM kwanini hawaangaiki na kina Rungwe,Zitto,dovutwa wako bize na kina Lissu na Mbowe
 
 
CCM na Police wao leo wamejifunza kitu.
Hakika, wamebakiwa na mshangao.
CHADEMA iliyotikisa nchi ile ya wakati ule Dr Slaa! Wakaja kupotea njia baada ya kuingia tamaa ya kuitaka dola kupitia kwa Lowassa.
Bahati mbaya sana wengi wa wana CHADEMA hawapendi kukosolewa. Kila anayewakosoa wanamrukia kwa matusi na kashfa..
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa nyomi hii lazima mchukue nchi, kweli mtikisiko ni mkubwa kuzidi Vita ya Russia na Ukraine.
Chadema mpango wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…