Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Chama hiki kimeshapitwa na kile ubwabwa "Hashim Rungwe". Wanatia huruma CDMMbona picha hazina uhalisia!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama hiki kimeshapitwa na kile ubwabwa "Hashim Rungwe". Wanatia huruma CDMMbona picha hazina uhalisia!?
kama hujalogwa basi itakuwa ulizaliwa njiti halafu hukupata uangalizi wa madaktariChama hiki kimeshapitwa na kile ubwabwa "Hashim Rungwe". Wanatia huruma CDM
===
Mwanza
View attachment 2130877
===
Mbeya
View attachment 2130885
===
Tabora Mjini
===
Tunduma
===
Kilombero
Sema mtoa mada nlkua nakuheshimu sana kumbe bure kabisa..yaan huo ndo mkutano mzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kama kikao Cha wazazi wa wanafunzi wa chekechea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.
Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.
Tabora:
View attachment 2130727
Mtwara:
View attachment 2130729
Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .
YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD
Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .
Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
Umefuatilia Join the chain , au hata ulijua ni nini ?Sema mtoa mada nlkua nakuheshimu sana kumbe bure kabisa..yaan huo ndo mkutano mzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kama kikao Cha wazazi wa wanafunzi wa chekechea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna hata moja la uongoKama haya matukio toka sehemu zote ni ya kweli, basi kumbe ni halali CCM na serikali yao kuwa na hofu na hatima yao dhidi ya CHADEMA kiasi cha kutumia njia za kimafia kujaribu kuwazuia/kuwadhibiti
Njia wanazotumia CCM kupambana na CHADEMA ni sawa na mwehu mmoja anayejaribu kuzuia maporomoko ya mto kwa mikono!
Tundu Lissu yuko Ubelgij, anahutubia kwa zoom video conference. Cha ajabu maelfu wamejitokeza kumsikiliza ktk kumbi mbalimbali nchini kote.
Huyu MTU influence yake kwa watu no kubwa sana.
Strategy nzuri sana hii Chadema mabingwa wa UBUNIFU...kweli technology ni kitu INGINEKama haya matukio toka sehemu zote ni ya kweli, basi kumbe ni halali CCM na serikali yao kuwa na hofu na hatima yao dhidi ya CHADEMA kiasi cha kutumia njia za kimafia kujaribu kuwazuia/kuwadhibiti
Njia wanazotumia CCM kupambana na CHADEMA ni sawa na mwehu mmoja anayejaribu kuzuia maporomoko ya mto kwa mikono!
Tundu Lissu yuko Ubelgij, anahutubia kwa zoom video conference. Cha ajabu maelfu wamejitokeza kumsikiliza ktk kumbi mbalimbali nchini kote.
Huyu MTU influence yake kwa watu no kubwa sana.
Nchi nzima, na ulimwengu kwa ujumla, Live, Ni tukio amabalo halijawahi kutokea Tangu Tanganyika ipate uhuru.Tundu Lissu yuko Ubelgij, anahutubia kwa zoom video conference.
Kama huko ndiyo kujaza kumbi, basi chadema inapumulia kwenye mashine!
Ndiyo kawaida yenu, mkipewa mawazo muna IGNORE, yakiwapata mnaanza kutafuta sympathyMchawi na roho ya Kimaskini...
Kama huko ndiyo kujaza kumbi, basi chadema inapumulia kwenye mashine!
Hayo majengo ya ccm wanao nufaika nayo wachache sana akina BulemboWao wanaamini Itikadi inaishi Rohoni sio kwenye ofisi kwani cha umuhimu kwao ni somo la uraia na Itikadi kwanza sio majengo
Kwani unadhani Ni uongo, unadhani CCM kwanini hawaangaiki na kina Rungwe,Zitto,dovutwa wako bize na kina Lissu na MboweKama haya matukio toka sehemu zote ni ya kweli, basi kumbe ni halali CCM na serikali yao kuwa na hofu na hatima yao dhidi ya CHADEMA kiasi cha kutumia njia za kimafia kujaribu kuwazuia/kuwadhibiti
Njia wanazotumia CCM kupambana na CHADEMA ni sawa na mwehu mmoja anayejaribu kuzuia maporomoko ya mto kwa mikono!
Tundu Lissu yuko Ubelgij, anahutubia kwa zoom video conference. Cha ajabu maelfu wamejitokeza kumsikiliza ktk kumbi mbalimbali nchini kote.
Huyu MTU influence yake kwa watu no kubwa sana.
Nchi nzima, na ulimwengu kwa ujumla, Live, Ni tukio amabalo halijawahi kutokea Tangu Tanganyika ipate uhuru.
Kama haya matukio toka sehemu zote ni ya kweli, basi kumbe ni halali CCM na serikali yao kuwa na hofu na hatima yao dhidi ya CHADEMA kiasi cha kutumia njia za kimafia kujaribu kuwazuia/kuwadhibiti
Njia wanazotumia CCM kupambana na CHADEMA ni sawa na mwehu mmoja anayejaribu kuzuia maporomoko ya mto kwa mikono!
Tundu Lissu yuko Ubelgij, anahutubia kwa zoom video conference. Cha ajabu maelfu wamejitokeza kumsikiliza ktk kumbi mbalimbali nchini kote.
Huyu MTU influence yake kwa watu no kubwa sana.
HakikaNchi nzima, na ulimwengu kwa ujumla, Live, Ni tukio amabalo halijawahi kutokea Tangu Tanganyika ipate uhuru.
Hakika, wamebakiwa na mshangao.CCM na Police wao leo wamejifunza kitu.
CHADEMA iliyotikisa nchi ile ya wakati ule Dr Slaa! Wakaja kupotea njia baada ya kuingia tamaa ya kuitaka dola kupitia kwa Lowassa.
Bahati mbaya sana wengi wa wana CHADEMA hawapendi kukosolewa. Kila anayewakosoa wanamrukia kwa matusi na kashfa..
Kwa nyomi hii lazima mchukue nchi, kweli mtikisiko ni mkubwa kuzidi Vita ya Russia na Ukraine.Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.