Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Sijui kwanini nafikiri Jokate hajatendewa haki pamoja na madhaifu yake....
 
Kitakacho wafanya wagombane ni the whole job, sio mapenzi hayo ni part ndogo ya Job description

Nadhan hapo sasa umenipata
Mmmh ivi ukigombana na mpenz wako like serious ugomvi mnaweza kukaa karibu kweli?
 
Mmmh ivi ukigombana na mpenz wako like serious ugomvi mnaweza kukaa karibu kweli?
Sasa wewe umewachukulia Ali Kiba na 7 kama ni wapenzi walio zama kwel kwel koas wanaweza gombana. Wale ni kama mama mwenye house kutembea na hose boy, sasa watagombanaje wakati kila mtu ana jua position yake?
Wale sio kama Zari na Daimond ni watu wa kupeana kampan tu kwa ajili ya ku imarisha uhusiano wa kibiashara
 
Mimi siamini kuhusu friends with benefits. Wapo karibu muda mwingi ni rahis kwa 7 kuzama mazima. Mpaka jokate kuchapa lapa inawezekana ni serious issue. Hakuna cha position mkishamix malavidavi na kazi
 
Katumika na kutemwa ila apunguze nyondo, lakini nae hakujua mwenzake alitaka kiki tu.

Manager ake ana enjoy now
Utamfananisha jokate na seven 😳 😳 😳 😳 jokate namba nyingine.
 
Historia ya washindi wengi wa miss Tz wametusua kimaisha na nyota zao hazifubai kmJacklin, Faraja nk ila ni kinyume kabisa na hawa; Joket na Wema, sijui walikosea step wapi
 
Hawa watoto watakua lini? Kila uchao impression za mitandaoni
 
Mimi siamini kuhusu friends with benefits. Wapo karibu muda mwingi ni rahis kwa 7 kuzama mazima. Mpaka jokate kuchapa lapa inawezekana ni serious issue. Hakuna cha position mkishamix malavidavi na kazi
Hahaha
Wala nadhan 7 anamjua vzuri kiba kias kwamba she handles him with care. Hiyo ipo najua.
 
anaanzaje kuwa na mtoto wakati ameshacholopoa mimba za kutosha
 
Naweza pata namba yake nimsaidie kwenye hilo swala la Mtoto!
 
ali najifanya kuiga tuu kama diamond nakushindana nae ndo yale tulosema last week kiba anatumia nguvu nyingi apambane na diamond haya yoooote ni kutaka kuandikwa na kupata kick kwa vyombo vya habari ili nayeye awe juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…