Me nimesikia kwamba mwnyekiti wa sisiyemu aliomba ukumbi wa mikutano kwa rais, basi akapewa.Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Swali hili halimpi warrant ya kumtungua mtu kwa smgHivi Rais anashitakiwa?
Mangedele wengine makauzu!kesi ya nyani uipeleke kwa ngedere
Hawamshtaki rais. Wanamshtaki mwenyekiti wa chamaRais hashtakiwi kwa mujibu wa katiba
Mbona hizi ibara (145, 146) zinazungumzia SERIKALI ZA MITAA tu. Sioni hicho kipengele kilichokiukwa na Rais kitakacho tumiwa kumshitaki.Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Ila mwenyekiti wa CCM anashtakiwaRais hashtakiwi kwa mujibu wa katiba
Kweli wamebanwa na hapa kazi tu
Awamu zilizopita mbona hawakufanya hivyo!!
Mahakama ya TanzaniaHiyo kesi itafunguliwa kwenye mahakama za makufuli au mahakama za wapi
Acha upumbavu wewe si kila anayekosoa ni chadema, mbona umekuwa mpuuzi hivi...!!!2020 chadema mtachukua nchi na nyinyi mtafanya mikutano yenu hapo na kwa vile hamna hata office hata mikutano ya vijana, wazee, kinamama hata watoto kama ipo ruksa na nyinyi muwaumize lumumba ila kwa sasa waacheni wapete
Hujui unachokiongea. Labda kwa vile ni tetesi basi huna kosa. Pole sana kwa kuamini kitu ambacho hakipoWasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Umepaniki kinyama!Hujui unachokiongea. Labda kwa vile ni tetesi basi huna kosa. Pole sana kwa kuamini kitu ambacho hakipo
Mbona hizi ibara (145, 146) zinazungumzia SERIKALI ZA MITAA tu. Sioni hicho kipengele kilichokiukwa na Rais kitakacho tumiwa kumshitaki.
Naomba nukuu ya hicho kifungu.
hakuna cha kupaniki hapo, isipokuwa ni kichekesho tu. kwanza hizo ibara za katiba ni tofauti na maelezo yaliyotolewa. Kweli usilolijua ni kama usiku wa gizaUmepaniki kinyama!
Mfalme huhihuhi ameinajisi ikulu.hakuna cha kupaniki hapo, isipokuwa ni kichekesho tu. kwanza hizo ibara za katiba ni tofauti na maelezo yaliyotolewa. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza
Hii kitu imekuwepo kabla hata hamjazaliwa.Mfalme huhihuhi ameinajisi ikulu.
Bulicheka acha kumtetea.
Mahakama ya Mungu aliye juuHiyo kesi itafunguliwa kwenye mahakama za makufuli au mahakama za wapi