Tetesi: Jopo la wanasheria kuwashtaki CCM Mahakamani kwa kufanya vikao vya chama Ikulu.

Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Me nimesikia kwamba mwnyekiti wa sisiyemu aliomba ukumbi wa mikutano kwa rais, basi akapewa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Mbona hizi ibara (145, 146) zinazungumzia SERIKALI ZA MITAA tu. Sioni hicho kipengele kilichokiukwa na Rais kitakacho tumiwa kumshitaki.

Naomba nukuu ya hicho kifungu.
 
Hebu wamushtaki huyu jamaa haraka sana. Ni kero kila kona. Tumemchoka.
 
2020 chadema mtachukua nchi na nyinyi mtafanya mikutano yenu hapo na kwa vile hamna hata office hata mikutano ya vijana, wazee, kinamama hata watoto kama ipo ruksa na nyinyi muwaumize lumumba ila kwa sasa waacheni wapete
Acha upumbavu wewe si kila anayekosoa ni chadema, mbona umekuwa mpuuzi hivi...!!!
 
Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.
Hujui unachokiongea. Labda kwa vile ni tetesi basi huna kosa. Pole sana kwa kuamini kitu ambacho hakipo
 
haha hao ni wasaka umaarufu tu. na mabush lawyer. hakuna mwanasheria mweledi atakayepoteza muda wake muhimu kufungua kesi za kitoto kama hizo.
 
Mbona hizi ibara (145, 146) zinazungumzia SERIKALI ZA MITAA tu. Sioni hicho kipengele kilichokiukwa na Rais kitakacho tumiwa kumshitaki.

Naomba nukuu ya hicho kifungu.

Na mimi nimeshangaa hilo
 
Umepaniki kinyama!
hakuna cha kupaniki hapo, isipokuwa ni kichekesho tu. kwanza hizo ibara za katiba ni tofauti na maelezo yaliyotolewa. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Mfalme huhihuhi ameinajisi ikulu.

Bulicheka acha kumtetea.
 
Mfalme huhihuhi ameinajisi ikulu.

Bulicheka acha kumtetea.
Hii kitu imekuwepo kabla hata hamjazaliwa.
Raisi (ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa chama tawala) ni kiongozi mkuu wa nchi. Ikulu ni kwake. Chama tawala ndio kimeshika hatamu, ndicho kinao mustakabali wa nchi. Chama kinashika dola na dola ndio chama. Kiongozi wa chama ndiye mwenye mamlaka ndani ya chama na dola. Ni nani basi atakaemzuia kufanya shughuli zake mahali anapopapenda yeye?

Siasa za chama ni siasa za dola. Sera za chama ndio sera za dola. Chama kinachoshika dola ni zaidi ya chama, ni taasisi. Kwa hiyo nchi inaongozwa na taasisi, na taasisi hiyo ipo chini ya mwenyekiti wa chama. Unataka Ikulu itenganishwe na dola? unataka Ikulu ibinafsishwe? Tambua ikulu ikibinafsishwa basi na nchi itakuwa imebinafsishwa.
 
Back
Top Bottom