tongs
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 539
- 942
Me nimesikia kwamba mwnyekiti wa sisiyemu aliomba ukumbi wa mikutano kwa rais, basi akapewa.Wasalam, tetesi zilizonifikia zinasema jopo la wanasheria wapo hatua za mwisho kuwafungulia kesi rais magufuli na ccm kwa kukiuka ibara ya 145 na 146 ya katiba ya mwaka 1977 kwa kufanyia vikao vya chama ikulu na kuinajisi white house. Pia wanatanabaisha kuwa kufanyia vikao vya cha kunakiuka sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. Stay tuned.