Jordan ni kibaraka wa marekani sio israel kama ilivyo saudi arabia , ni selfishness tu kama umoja wa africa ulivyoangalia matumbo yao wakati gaddafi anashambuliwa na marekaniJordan inalinda Anga lake
Jordan inashirikiana na Israel katika mambo mengi ikiwemo ulinzi
Sababu ni moja tu:Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Sio kweli.Jordan ni kibaraka wa marekani sio israel kama ilivyo saudi arabia , ni selfishness tu kama umoja wa africa ulivyoangalia matumbo yao wakati gaddafi anashambuliwa na marekani
😂😁Huo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika
bado masaa 24 tu out of 72 ili tuanze kuona vimondo. people are waiting.Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Very true kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi kwa marekani na washirika wake
Unaona gaddafi alochofanyiwa na AU ni sawa, unajua ile 6 day war nani aliuza mechi it was morrocco na liwaita hadi mossad kwenye hotel mkutano wa siri wa nchi tatu wa kuovamia israel na hadi leo morocco afurukuti kwa marekani one of the things alichoahidiwa among others ni western saharaSio kweli.
Lebanon aliwakarisha wakataka kupindua serikali
Yes hatufurukuti huu utumwa hadi mwisho wa dunia na akitokea mtu wa kufurukuta kama magufuli hatodumu kwenye utawala hata tufanye nini, sisi ni wa kutawaliwa na kuamuliwa milele hii hali haitobadilikaNa Hapo hao magharibi ñdipo wanapojiona mîungu Watu Kwa kupitia udhaifu wetu.
Siri gani.Jordan wamegunduwa siri
Israel ni Taifa la Mungu.Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Waisrael wengi wanafanana na waarabu ndio maana kuna yule muisrael alikamatwa france akiwa na passport ya syria akiwa na vilipuzi kutafuta support ya nchi za magharibi wakati ushawishi wa israel unapungua kwenye nchi za magharibi ,angefanikiwa kulipua angeacha passport yake na wote tungewachukia waarabu kwamba ni wauaji na magaidi na israel angeendelea kupata ushawishi wa magharibi ambao at the moment umepwayaAyatollah hajulikani alipo kwa uoga, Nasrallah wa Hezbollah hajulikani alipo, MOSAD imeamua kuwafuata huko huko walipo makomando wako Tehran na Lebanon with fake skin, yaani utawaona kwa sura ni Wairani kabisa au walebanon kabisa kumbe ni MOSAD ndani ya Iranian skined face, yaani wako makomandoo wanatembea Tehran na Lebanon free kabisa, wanawasaka man to man, sasa Ayatollah kajua, halali, haamini hata inzi 😅
Achana na imani za kishirikina kama wale wafuasi wa kiboko ya wachawi, mataifa yote ni ya mungu ila ni ngumu kwa taifa lolote kufutika kwa dunia ya sasa ,fikiria israel amekuwa akiwaua wapalestina kwa zaidi ya 50 years huku hawana silaha lakini kashindwa kuwamaliza hadi leoIsrael ni Taifa la Mungu.
Mungu hatoruhusu lipotee.
Over!!!
Yes hatufurukuti huu utumwa hadi mwisho wa dunia na akitokea mtu wa kufurukuta kama magufuli hatodumu kwenye utawala hata tufanye nini, sisi ni wa kutawaliwa na kuamuliwa milele hii hali haitobadilika
Ni kama brics wanavyohangaika kuimaliza usd sishani kama wataweza kushindana na mfumo marekani aliyouweka maana ana control kila kitu ikiwemo nani awe kiongozi nchini kwako ,mkizingua anawaletea vurugu na mapinduzi nchini kwenu naona venenzuela wanavyohangaika
Haha,Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel
Pole kijana.Yaani ukisoma Qur an suratul Munafiqun ndio imetaja hao waarabu tabia yao , ni wanafiki sana mpaka utabiri kwamba ule msikiti pale utavunjwa na wanaisrael na kujenga hekalu lao ni sababu ya unafiki wao .
😄😄Haha,
Hao ndiyo Kobaz wenye akili sasa, hawataki ujinga