Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Soma utangulizi vizuri. JOrdan amesema hatoruhusu kombora, drone au silaha yoyote dhidi ya Israel ipite kwenye anga lake - itashushwa tuu.
 
Waarabu waunde one Arabic state with one central command probably wanaweza kutoa changamoto kwa Israel japo kwa asilimia kadhaa. Ila kwa nature ya waarabu hili ni jambo gumu sn.
🤣 🤣 🤣

Unajua kwamba Hadi Leo Syria, Iraq, Yemen kuna vita za wenyewe kwa Wenyewe.

Hizo tatu vita zake zina maslahi tofauti kwa kila nchi ya Kiarabu

Lebanon wanamkataba wa kugawana Madaraka Kati ya Wasunni, Washia, na Wakristo.
 
Tutapiga kombora moja hapo Jordan wakati wanahangaika kulizima sisi tunapitisha makombora elfu 1
Usijidanganye. Air defence systems hazihusiki na mioto iliyo ardhini. Zile ni automated kwa kinachopita kwenye anga linalodhibitiwa na mfumo husika. Kwa mantiki hiyo upitishaji wa hayo makombora kwa sababu eti watu watakuwa busy na moto, ni kutaka kujipatia hasara bure.
 
Kuna uCaliphate utasimama kabla Dunia haijafika Tamati.
Us pumzi zimeshakata,kwasasa ni kama Mapogo Family tu.
Usichukulie poa Islam!!.
Kuna Empire kubwa uko mbele itakuja simamishwa na hawa Jamaa.
 
Nafikiri ni tofauti ya madhehebu na itikadi zake ndio maana ni ngumu kuwa kitu kimoja , Shia na sunni ni paka na panya.
Shia na sunni sio sababu
Sadam alikua sunni wakamtelekeza
Gadafi alikua sunni wakamtelekeza pia
Nanukiangalia AL wengi ni wasunni kuliko shia
 
Pia Fatiria uzao wa Edom au Esau Pacha wake na yakobo (Israeli) alikaa wapi ndipo jibu utapata
 
We unafikiri Missile zilivyopita juu ya bunge la Israel hizo iron dome hazikuwepo?
 
Kuna uCaliphate utasimama kabla Dunia haijafika Tamati.
Us pumzi zimeshakata,kwasasa ni kama Mapogo Family tu.
Usichukulie poa Islam!!.
Kuna Empire kubwa uko mbele itakuja simamishwa na hawa Jamaa.
of course ndiyo empire ya mpinga Kristo, mfano wa ISIS ndio maana hata wanaposambaa ulaya utakuta wamebeba bendera ya caliphate ndio ISIS wanaitumia. mpinga kristo atafanya yote wanayofanya ISIS, KUCHINJA wanadamu wanaomwamini Yesu, ama umkane Yesu ama uchinjwe, n.k. kwahiyo ukiona uislam unaenda ulaya na duniani kote jua mwisho umekaribia. ni dini ya kiislam tu ndio ina uwezo kuchinja mtu asiye wa dini yao, nyingine ni ipi? kuchinja shingoni kabisa.
 
Huo mkataba upoje?
Key points of the agreement stipulate that:


Ukiangalia utakuja kugundua Tatizo la msingi la Waarabu
 
shika sana ulichonacho na mtu asije kukunyang'anya.
 
Jordan aliisha chungulia akaona Israel ndiyo usalama wake ulipo, kujiunga na magaidi na mihemko yao inaweza kujipoteza bila sababu ya msingi.
 
Aiseee nilikua sijui hili.
Huu mfumo wa kugawana madaraka kwa misingi ya dini we unaonaje liko sawa kweli kwa ustawi wa taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…