Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Kazi ieendelee.Umeona eeeh !! Mda huo Jordan amaeshapokea ndege za kivita za marekani , Kambi ya NATO inajengwa hapo na jiwe la msingi tayari .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ieendelee.Umeona eeeh !! Mda huo Jordan amaeshapokea ndege za kivita za marekani , Kambi ya NATO inajengwa hapo na jiwe la msingi tayari .
Soma utangulizi vizuri. JOrdan amesema hatoruhusu kombora, drone au silaha yoyote dhidi ya Israel ipite kwenye anga lake - itashushwa tuu.Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.
Maana anajua kapakana na Lebanon na anajua retaliation ya Iran sio ndogo.
Yani yeye yupo neutral,kama angekua anaruhusu basi angeruhusu mwezi May kipindi Iran ilirusha makombora Israel.Ila mbona hakuliruhusu anga lake litumike na Israel!?
Nimemjibu huyo jamaa aliyesema Jordan itaipatia ruhusa Israel ya kutumia ardhi yake kuishambulia Iran.Soma utangulizi vizuri. JOrdan amesema hatoruhusu kombora, drone au silaha yoyote dhidi ya Israel ipite kwenye anga lake - itashushwa tuu.
🤣 🤣 🤣Waarabu waunde one Arabic state with one central command probably wanaweza kutoa changamoto kwa Israel japo kwa asilimia kadhaa. Ila kwa nature ya waarabu hili ni jambo gumu sn.
Huo mkataba upoje?🤣 🤣 🤣
Unajua kwamba Hadi Leo Syria, Iraq, Yemen kuna vita za wenyewe kwa Wenyewe.
Hizo tatu vita zake zina maslahi tofauti kwa kila nchi ya Kiarabu
Lebanon wanamkataba wa kugawana Madaraka Kati ya Wasunni, Washia, na Wakristo.
Usijidanganye. Air defence systems hazihusiki na mioto iliyo ardhini. Zile ni automated kwa kinachopita kwenye anga linalodhibitiwa na mfumo husika. Kwa mantiki hiyo upitishaji wa hayo makombora kwa sababu eti watu watakuwa busy na moto, ni kutaka kujipatia hasara bure.Tutapiga kombora moja hapo Jordan wakati wanahangaika kulizima sisi tunapitisha makombora elfu 1
Kuna uCaliphate utasimama kabla Dunia haijafika Tamati.Marekani ndio utawala wa mwisho kinabii, utawala uliojawa na uovu lakini ndio utawala ambao utadumu mpaka mwisho wa dunia.
Hakuna BRICS wala Mbweha yeyote wa kuidondosha US. Mifumo aliyojiwekea ni mizito sana na yeye kila akiamka anajilinda asianguke.
Shia na sunni sio sababuNafikiri ni tofauti ya madhehebu na itikadi zake ndio maana ni ngumu kuwa kitu kimoja , Shia na sunni ni paka na panya.
wana akili.Jordan wamegunduwa siri
Nilijiuliza kama hvHOw many missile defense system bombs do they have??
Pia Fatiria uzao wa Edom au Esau Pacha wake na yakobo (Israeli) alikaa wapi ndipo jibu utapataFuatilia historia ya uanzishwaji wa Ufalme wa Jordan. Ni zao la usaliti dhidi ya Khilafa ya Othoman Empire uliofanywa na viongozi wa Kiarabu kwa kushawishiwa na Muingereza ili waweze kuivunjavunja hiyo Khilafa.
Kwa hiyo ufalme wa Jordan ni tunda la manuevring ya Muingereza.
We unafikiri Missile zilivyopita juu ya bunge la Israel hizo iron dome hazikuwepo?Usijidanganye. Air defence systems hazihusiki na mioto iliyo ardhini. Zile ni automated kwa kinachopita kwenye anga linalodhibitiwa na mfumo husika. Kwa mantiki hiyo upitishaji wa hayo makombora kwa sababu eti watu watakuwa busy na moto, ni kutaka kujipatia hasara bure.
of course ndiyo empire ya mpinga Kristo, mfano wa ISIS ndio maana hata wanaposambaa ulaya utakuta wamebeba bendera ya caliphate ndio ISIS wanaitumia. mpinga kristo atafanya yote wanayofanya ISIS, KUCHINJA wanadamu wanaomwamini Yesu, ama umkane Yesu ama uchinjwe, n.k. kwahiyo ukiona uislam unaenda ulaya na duniani kote jua mwisho umekaribia. ni dini ya kiislam tu ndio ina uwezo kuchinja mtu asiye wa dini yao, nyingine ni ipi? kuchinja shingoni kabisa.Kuna uCaliphate utasimama kabla Dunia haijafika Tamati.
Us pumzi zimeshakata,kwasasa ni kama Mapogo Family tu.
Usichukulie poa Islam!!.
Kuna Empire kubwa uko mbele itakuja simamishwa na hawa Jamaa.
Key points of the agreement stipulate that:Huo mkataba upoje?
shika sana ulichonacho na mtu asije kukunyang'anya.of course ndiyo empire ya mpinga Kristo, mfano wa ISIS ndio maana hata wanaposambaa ulaya utakuta wamebeba bendera ya caliphate ndio ISIS wanaitumia. mpinga kristo atafanya yote wanayofanya ISIS, KUCHINJA wanadamu wanaomwamini Yesu, ama umkane Yesu ama uchinjwe, n.k. kwahiyo ukiona uislam unaenda ulaya na duniani kote jua mwisho umekaribia. ni dini ya kiislam tu ndio ina uwezo kuchinja mtu asiye wa dini yao, nyingine ni ipi? kuchinja shingoni kabisa.
Aiseee nilikua sijui hili.Key points of the agreement stipulate that:
- Lebanese Maronite Christians do not seek Western intervention, and accept that Lebanon had Arab features.
- Lebanese Muslims abandon their aspirations to unite with Syria and the Arab World.
- The President of the Republic and the Commander of the Lebanese Armed Forces always be Maronite Catholic.
- The Prime Minister of the Republic always be a Sunni Muslim.
- The Speaker of the Parliament always be a Shia Muslim.
- The Deputy Speaker of the Parliament and the Deputy Prime Minister always be Greek Orthodox Christian.
- The Chief of the General Staff of the Armed Forces always be a Druze.
- There always be a ratio of 6:5 in favour of Christians to Muslims (and Druze) in the Lebanese Parliament.[2]
Ukiangalia utakuja kugundua Tatizo la msingi la Waarabu