Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
That's problemYeye anaamini kwenye ushirikina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's problemYeye anaamini kwenye ushirikina
Yes, watu wengi wamejificha kwenye ushirikanaThat's problem
Huyo unayemuita mjinga ana hela ya kumnunua babaako akahamia kwake na familia yake yote ukiwemo wewe!Ujinga mzigo.
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
kwanza kusoma mkataba wenyewe sidhani kama ataelewa kwa elimu yake!kwaiyoo msukuma ndo anafanya mkutano wa kutetea bandari hatari sana.
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
Hela za kihalifu sio akili.Huyo unayemuita mjinga ana hela ya kumnunua babaako akahamia kwake na familia yake yote ukiwemo wewe!
Huwezi kutoa maoni yako bila kutukana?Hawa darasa la saba tumewapa promo sana.
Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.
Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
Zimewakalia vibaya mnoPesa za DP world zitawatokea puani
Ahahahahaha! Dua la kuku!Hela za kihalifu sio akili.
Arusha ameuza sana vocha jumla na rejareja akiwa agent wa Kampuni ya alkatel ya Lowasa. Cha ajabu 2015 akawa wa kwanza kumfanyia majunga na fitna mzee Lowasa. Musukuma ni tapeli na mwovu sana, hili halina ubishi.Kama anabisha aseme suu, halafu nifunguke zaidi. Zile stori sijui eti alikuwa anauza sijui nn Arusha na Korogwe Tanga ni uwongo tu
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
Msukuma kapaniki sanaWatu wa geita musimwamini huyu Jamaa hata kidogo. Huyu anacheza na akili zenu kutetea ugali wake. Kwanza kapaniki sana
DuuhKajambazi kastaafu haka kajamaa
Arusha ameuza sana vocha jumla na rejareja akiwa agent wa Kampuni ya alkatel ya Lowasa. Cha ajabu 2015 akawa wa kwanza kumfanyia majunga na fitna mzee Lowasa. Musukuma ni tapeli na mwovu sana, hili halina ubishi.