Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwishney! Hana kitu amekwisha!wewe msukuma ulikuwa humjui huyoo alikuwa tapel plus mwizi. sijui kama ameshaacha ujambazi na utapel plus ushirikina.
AahaaaaaaHii issue ya Bandari mambo yamekua sio mambo kwa watawala.
Ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukichutama nchale, ukikimbia nchale![emoji28][emoji23]
Mpuuzi wewe. Unafikiri Kila mtu ananunulika?Huyo unayemuita mjinga ana hela ya kumnunua babaako akahamia kwake na familia yake yote ukiwemo wewe!
Ni kwa wanaccm wooteYeye anaamini kwenye ushirikina
HahahaaHii issue ya Bandari mambo yamekua sio mambo kwa watawala.
Ukichimama nchale, ukikaa nchale, ukichutama nchale, ukikimbia nchale![emoji28][emoji23]
Hatari snNi kwa wanaccm woote
Wananchi wamegundua alikuwa mwongo anawapoteza.Anadanganya wananchi. Halafu umaarufu wake umeanza kuporomoka.
Wenzie wanazungumza kwa vifungu vya mkataba, Msukuma ana yeye anapiga stori za Ikawa vile Ikawa hiviNi katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
View attachment 2712732
Anapiga kilugha tu. Anahisi atavuta attentionWenzie wanazungumza kwa vifungu vya mkataba, Msukuma ana yeye anapiga stori za Ikawa vile Ikawa hivi
Mbona Mbowe amenunulika na asali akaramba? Ahahahahaha!!!Mpuuzi wewe. Unafikiri Kila mtu ananunulika?
Bora ukose fedha uwe na akili kuliko kuwa na fedha halafu mpumbavu.Huyo unayemuita mjinga ana hela ya kumnunua babaako akahamia kwake na familia yake yote ukiwemo wewe!
Kwani hajui kama enzi za mfalme wake zimepita😂Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
View attachment 2712732
Wewee acha ujinga! Yaani ulale njaa wewe na watoto wako kisa una akili, halafu jirani yako anakula chips kuku na mabaki anatupa watoto wako wanaokota kula huku unawaambia watoto wako kuwa wewe una akili kuliko huyo jirani? Dogo, watoto wako wakichagizwa na mkeo WATAKUPIGA KAA MBWA KOKO!Bora ukose fedha uwe na akili kuliko kuwa na fedha halafu mpumbavu.