Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

Acha upuuzi we mshosha ngombe ongelea mkataba wewe kilaza !! Bado utataga mayai ya nyoka!
 
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.

Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.

Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo

Tazama video clip hii.
View attachment 2712732
Wenzie wanazungumza kwa vifungu vya mkataba, Msukuma ana yeye anapiga stori za Ikawa vile Ikawa hivi
 
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.

Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.

Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo

Tazama video clip hii.
View attachment 2712732
Kwani hajui kama enzi za mfalme wake zimepita😂
 
Bora ukose fedha uwe na akili kuliko kuwa na fedha halafu mpumbavu.
Wewee acha ujinga! Yaani ulale njaa wewe na watoto wako kisa una akili, halafu jirani yako anakula chips kuku na mabaki anatupa watoto wako wanaokota kula huku unawaambia watoto wako kuwa wewe una akili kuliko huyo jirani? Dogo, watoto wako wakichagizwa na mkeo WATAKUPIGA KAA MBWA KOKO!
 
Back
Top Bottom