Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

Huenda hafahamu zama zimebadilika tofauti na kipindi cha nyuma,hivi sasa watu wanataka uwazi,ufafanuzi yakinifu na siyo bluh bluh maneno ya kupaka mafuta otherwise utaitwa wa mchongo.In my humble opinion aangalie alipoteleza ,😄
 
🤣🤣🤣🤣Njoo tz utaona vituko vya kila aina!! Eti kiongoz hajui kuhusu ubunge ulivyopatikana 2020?
 
Huwezi kutoa maoni yako bila kutukana?
 
Kama anabisha aseme suu, halafu nifunguke zaidi. Zile stori sijui eti alikuwa anauza sijui nn Arusha na Korogwe Tanga ni uwongo tu
Arusha ameuza sana vocha jumla na rejareja akiwa agent wa Kampuni ya alkatel ya Lowasa. Cha ajabu 2015 akawa wa kwanza kumfanyia majunga na fitna mzee Lowasa. Musukuma ni tapeli na mwovu sana, hili halina ubishi.
 
Watu wa geita musimwamini huyu Jamaa hata kidogo. Huyu anacheza na akili zenu kutetea ugali wake. Kwanza kapaniki sana
 
Arusha ameuza sana vocha jumla na rejareja akiwa agent wa Kampuni ya alkatel ya Lowasa. Cha ajabu 2015 akawa wa kwanza kumfanyia majunga na fitna mzee Lowasa. Musukuma ni tapeli na mwovu sana, hili halina ubishi.

wewe msukuma ulikuwa humjui huyoo alikuwa tapel plus mwizi. sijui kama ameshaacha ujambazi na utapel plus ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…