Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wote wanaomuunga mkono Sultani Mbowe ni akili ndogo!。
P
 
Kwenye uchaguzi wa Mwenyekit Kanda ya Nyasa Mbowe ndio alimpa uenyekit Sugu dhidi ya Msigwa wa Lissu.

Mpaka dakika hii Msigwa na Sugu hawana maelewano .

Akishinda Lissu litakuwa pigo kubwa Kwa Sugu.
Ndio maana kuna uwezekano mkubwa kwamba Lisu akishinda Sugu atatimkia chama kingine.
 
Sugu naye ni dikteta wa kugandia nafasi miaka nenda miaka rudi
 
Mnaomkubali Lissu ni ninyi Chadema Keyboard Warriors. Lakini wapiga kura halisi na wanachadema wa ukweli HAWAWEZI kumpigia kura Lissu kwa maana wanamjua HANA AKILI!
 
Sugu kaingizwa CHADEMA na Mbowe personally. Wakati anaitwa na Mbowe kujiunga na CHADEMA tulikuwa naye New York City alikuwa anashughulikia deal zake za projects za Malaria. Akatuambia Mbowe kamuita Bongo anamtaka aingie CHADEMA, Sugu alikuwa hajaamua bado aingie CHADEMA au ampotezee Mbowe, akatuuliza aingie au asiingie CHADEMA?

Tukamwambia ingia ukachukue jimbo uendeleze harakati bungeni.

Kwa hiyo Mbowe amekuwa kama Godfather wa Sugu ndani ya CHADEMA kutoka anajiunga, Mbowe ndiye aliye m recruit Sugu CHADEMA, mara nyingine hizo ties ni vigumu kuzivunja.
 
... hivi unafikiri Jiwe angeanza kuwananga watangulizi wake kabla ya kuteuliwa angeambulia kitu?
KOSA LA LISSU NI KUMNANGA 'INCUMBENT' KIASI CHA KUMPA MAAMUZI YA HASIRA!
 
... hivi unafikiri Jiwe angeanza kuwananga watangulizi wake kabla ya kuteuliwa angeambulia kitu?
KOSA LA LISSU NI KUMNANGA 'INCUMBENT' KIASI CHA KUMPA MAAMUZI YA HASIRA!
Sema mwamba kanunulika acha kupata kigugumizi kama chawa na washirika wao walivyonunulika hata chawa wa covid ule ni mradi wa mbaaaliii.
 
Sugu ni kati ya wanachama wa CHADEMA wa Siasa za wastani,

Ana ukaribu na Samia,akiwa na jambo lake anaweza kumwalika Rais kirahisi na akaja.

Kwahiyo lazima awe upande ambao serikali inashirikiana upande wa Mbowe,Kifupi sugu anafanya betting ya ya WIN kosa, alitakiwa afanye Double chance kuwa neutral.

Namuonea huruma, LISSU atashinda umwenyekiti kwa mfano na mfumo wa MWABUKUSI alivyoshinda Tanganyika Law society, mwanzo alibezwa sana na Watu.

Sugu kachagua fungu la kukosa!!!
 
Matamanio yenu ilikuwa Mbowe abaki peke yake ndiyo mfurahi? Hakika mmeyakanyaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…