Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kati ya Msigwa (team Lisu), na Sugu (team Mbowe) ni kina nani waliokuwa corrupt kupitia hela za mama Abdul?
Kulingana na recent reports Sugu team ilikuwa corrupt na hela za ABD, hata hivyo sijajua kwanini Msigwa aliamua kwenda CCM, Je, kwasababu ya frustrations za uchaguzi au alikuwa mole kitambo.

Kwa kuongezea, Boniyai, na Maranja Masese ambao walikuwa wapiga kampeni za Sugu ni wafaidika wa kubwa wa hizo fedha.
 
Nafikiri Msigwa alienda CCM ili kupunguza hasira alizokuwa nazo, lkn pia kupata jukwaa huru zaidi la kumshambulia Mbowe bila kizuizi.

Kumbuka alipokuwa anamshambulia Mbowe wakati akiwa Chadema kuna watu walimuona kama vile anamvunjia heshima na kumpaka matope mwenyekiti, huku wengine wakitaka hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake.

Lkn kwa vile sasa hivi yupo CCM basi hakuna hatua zozote za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa juu yake, maana tayari washakuwa wapinzani wawili au maadui wawili wa vyama tofauti.

Yani alichofanya Msigwa kujiunga CCM ni sawa sawa na mke aliegombana na mumewe halaf anaamua kumpa tunda mwanaume mungine bila kujali kuwa ni muuza mkaa, boda boda au mpiga debe ili kumkomoa mumewe na kujipoza hasira zake.

Pengine Lisu akishinda uenyekiti Msigwa anaweza kuikimbia tena CCM na kurudi Chadema kushirikiana na Lisu kukijenga chama.
 
Unamjua au umeahamsikia Abdu msomali, huyo nakutajia kwa sababu anajulikana. Zamani watanzania waliokuwa wanafanya biashara ya madawa walikuwa hawauzi Tanzania, soko lao. Lilikuwa south Afrika.
Watanzania wengi walikuwa wakitaka kuzamia ulaya walikuwa wanapitia south Afrika pia Kuna vijana wengi nawafahamu ambao baada ya ubaguzi kufutwa walikuwa wameshakaa huko muda mrefu na wakatumia fursa hiyo kupata uraia.
Ugumu wa passport haeakuwazuia watanzania kuzamia nchi za jirani mbali na south wengine walijaa Namibia na Botswana .
Kuhusu sugu labda mmekuja naye ndio maana unafikiri ni kijana wa mwanzo kwenda huko.
 
Mkuu mbona sasa umerudia kuandika kile kile nilichokiandika. Kama ni hivyo hapakuwa na sababu ya kupinga nilichoandika.

Ukisoma post yangu namba 105 utaona kuwa nimekubali kuwa kuna watanzania waliofanikiwa kusafiri lkn kwa njia za kuzamia. Lkn pia ukweli utabaki pale pale kwamba hawakuwa wengi ukilinganisha na wale walioanza kusafiri baada ya marufuku ya kusafiri kutenguliwa.

Namaanisha kwamba baada ya marufuku ya kusafiri kutenguliwa na watu kuruhusiwa kusafiri, ndo mamia ya watanzania wapoanza kutoka kwa ajili biashara, kutafuta maisha, kusoma nk.
 
Mbowe kushindwa Uenyekiti ni ndoto za Alinacha
 
Hii sasa ndo Democrasia ya CHADEMA.

Sishangai sana, Mlovokua mnamchukia Diamond kisa tu ameside na CCM.

Ni kama mazombie flan hivi hamjielewi.
 
Wapi inaonesha mbowe atashindwa au Ni maoni yako tu?
Ukiangalia kwa makini mitandaoni na uraiani utagundua kwamba watu wanaotaka Mbowe aachie uenyekiti ni wengi kuliko wale wanaotaka aendelee kuwa mwenyekiti.

Hii ni dalili tosha kuwa Mbowe atashindwa na Lisu endapo uchaguzi utafanyika bila wizi wa kura.
 
Mbowe kushindwa Uenyekiti ni ndoto za Alinacha
Kama kutakuwa na namna ya goli la mkono hapo kweli ni alinacha Mbowe kushindwa, lkn kama ni fair play bila wizi wa kura basi Mbowe ataangukia pua mapema sana siku hiyo.
 
Hii sasa ndo Democrasia ya CHADEMA.

Sishangai sana, Mlovokua mnamchukia Diamond kisa tu ameside na CCM.

Ni kama mazombie flan hivi hamjielewi.
Usitishike na andiko langu ukaanza kunihukumu mimi sina chama mkuu.

Nimetumia tu demokrasia unayosema hapa kuchambua uhalisia wa kile kinachoendelea Chadema.
 
Mbowe myika walimsumbua sungu ajiunge chadema
 
Lema pekee anajielewa
Lema hajaendekeza udiktetlema hajaendekeza ukabila na ukanda
Lema hajaendekeza uchawa
Lema mchaga pekee alimpa Mbowe tahadhari kuhusu maridhiano
Na kasema kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi basi. Mwamba kamkataaa mbowe kiana na kasepa zake
 
Na kasema kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi basi. Mwamba kamkataaa mbowe kiana na kasepa zake
Kaona ni ujinga kwa mtu mzima kama yeye kuendelea kushikiwa akili na mwanaume mwenzake kwa sababu ya vijisent kidogo vya kula anavyowapatia ili waendelee kumuacha dikteta Mbowe awatawale milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…