M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
ni fake news.Habari wadau
Baada ya Mh Sugu kusema ukwel kua walichelewa kwenye Msiba Japo Chama Cha chadema kilikua kimesha Tangaza kua Viongozi wao wameziwiliwa kuingia Msiban na kuitaka Serikal itole ufafanuzi
Chadema wameonyeshwa kuto kupendezwa na ukwel alio ongea Sugu kua chadema walishindwa kuingia Msiban kwa Sababu ya wao kufika kwa kuchelewa na si kwasababu waliziwiwa
Chama Cha chadema kimepanga kesho kuita waandish wa Habari ili kukanusha kua walichelewa na kwamba account Ile ya Twitter ya Mh Sugu imedukuliwa na Anae iendesha ni Mtu mwingine
My take
Ningependa kuwashaur chadema kua siasa wanazo taka kufanya now wanaweza kuona zina faida lakini baadae zitakua Mbaya Sana
Mungu awatangulie
Napenda nimpongeze Sugu
Sugu mwenyewe kakanusha kupitia Instagram account yake hii hapa chini....