Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Wewe unapotinduliwa basi usihusishe wengine,siyo kila mtu ni punga kama wewe
Hata zile picha za mwanzo zilipovuja mitandaoni Mamvi akiwa na viongozi wa kamati kuu CDM ulitolewa utetezi wa kiboya kabisa kama huo wa Lema kwamba ni Photoshop.

Lema na Mdee wako loyal kishenzi kwa mwamba kuliko hata Mzazi mwenzie Joyce mpaka unahisi jamaa huwa anawatindua.[emoji16].
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Itifaki ipo na Duniani Kote kuna Utaratibu..sijui Kwann chadema kila mara wanajiwekea kitanzi wenyewe.

Mkuu Wa nchi ameshaingia kwa usalama sio sawa nyie chadema kuingia baada ya Rais..Sio Heshima na pia sio sawa...

Lawama kila mara ila mmechemka sana
Tatizo la CHADEMA watakjwa wamevutishwa bangi asubuhi.
 
Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?

Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Mad thinking!
Huo ujasiri wa kutofuata protokali unawezekana baada tu ya kuvuta bangi!
 
Hongera kwa kuwa mkweli. Mwenzio Lema ile jana polisi kutoingiliwa mapokezi imemshangaza na kile kitendo anasema ni sawa na chloroquine kupakwa sukari huenda wanajipanga kuwaletea vagi. Yaani kumbe Chadema hua wanatamani matatizo yanawapa kiki kisiasa
 
Habari wadau
Baada ya Mh Sugu kusema ukweli kua walichelewa kwenye Msiba Japo Chama cha chadema kilikua kimesha Tangaza kua Viongozi wao wamezuiliwa kuingia Msibani na kuitaka Serikali itolee ufafanuzi

Chadema wameonyeshwa kutopendezwa na ukweli alio ongea Sugu kua chadema walishindwa kuingia Msibani kwa Sababu ya wao kufika kwa kuchelewa na si kwasababu walizuiwa

Chama cha Chadema kimepanga kesho kuita waandish wa Habari ili kukanusha kua walichelewa na kwamba account Ile ya Twitter ya Mh Sugu imedukuliwa na Anae iendesha ni Mtu mwingine

My take

Ningependa kuwashaur chadema kua siasa wanazo taka kufanya now wanaweza kuona zina faida lakini baadae zitakua Mbaya Sana
Mungu awatangulie
Napenda nimpongeze Sugu
 
Wacha kulia lia jomba kwani hakuna kulazimishana
Hadhira ya kitaifa si ngoma ya mdundiko au tokomile, mtu anaingia kucheza na kutoka anavyojisikia mdundo.
Protokali vile vile ina security measures, baada ya rais kuingia uwanjani.
Ngojeni mchukue nchi ili muucheze huo mdundiko.
 
Moderator tafadhali ondoeni huu uzi ni "fake news".

Sugu mwenyewe amekanusha kupitia account yake ya Instagram hii hapa chini.

please take this rubbish out of JF, and pronto!

20200728_202222.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom