Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kama Diamond vile
Chadema Ni kawaida yao kutafuta Kiki kwa pikipiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema Ni kawaida yao kutafuta Kiki kwa pikipiki
Hivi nawe uko CHADEMA?Uongo.Ni Sugu kabisa,sema wakubwa hawajakubaliana nae alivyoandika. Sisi sio vilaza kama kina Zitto mliowanyanganya laptop kulimokuwa na waraka.
Ni yakeHiyoo account Na wasi wasi nayo.
Wacheni uhuni wenu wa kijinga, yaani mnadukua account ya mtu kisa mjifiche kwenye kivuli cha uogo? View attachment 1519661
Mzee wa mahaba na chadema leo umejitoa ufahamu hizi siasa zenu ndio zinazowaharibu nakuonekana Ni kikundi Cha wahuni mbele za watu makini.Binafsi namshukuru Mungu sijawa kwenye ushabiki wa vyama venu hiv vya kipuuzi.mimi red ni red black ni black. huwa sichotwi na mahaba.
JosephHiyoo account Na wasi wasi nayo.
Imeshatoka hiyooo mwandishi wewe.. vizuri sana kwa kukubali ni yake.. bamemutisha.. amemwacha adanganye.. hii kudukuliwa ni uongo.. hamuna jipya... munatia aibu upinzani
Kwa hiyo yeye lema, Akiwa naye ndo hawezi kuandika ukweli?
Maelezo ya kitoto Sana hayo
Sio tu Diamond pekee Wasanii wote wa Tanzania wanapenda kikiKama Diamond vile
Amweleze ili iweje, Kwa nini asikanushe yeye?Mbona unafosi utajuaje sugu ndo amemweleza kuwa kadukuliwa au umeamua tu kukata mauno hapa kujitoa ufahamu
Kama kawaida pingapinga Fc at work.Kwanza tuwashukuru sana kwa hata huo MOYO wa kujaribu kwenda huko, maana siyo lazima
Wewe ndio ulijipendekeza kwenda msibani.Kwani ni lazima kwenda huko? Wacha kujipendekeza wewe
Amweleze ili iweje, Kwa nini asikanushe yeye?
Ile ni Account yake binafs, kwani anachotaka kukiandika mpaka amshirikishe Lema?
Unatetea ujinga wewe
Hongera Sugu umejitahidi maana tangia uingie Twitter hiyo ni tweet pekee iliyo na herufi ndogo tupu! Tuwekee na ile ya Maalim Seif tuone ufundi wenu mwingine.
Bila yeye asingepigwa risasiKabisa, inatakiwa kila mtu azike mtu wake, hamna cha umoja wa kinafiki.
Imeshatoka hiyooo mwandishi wewe.. vizuri sana kwa kukubali ni yake.. bamemutisha.. amemwacha adanganye.. hii kudukuliwa ni uongo.. hamuna jipya... munatia aibu upinzani