Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Hao wote washageuzwa misukule tayari
Yani huku kuna watu wana akili ndogo kama maisha ya funza (Hasa wafuasi wa Magufuli) Mnakaa mnabishania tweet ambayo imetoka kwenye akaunti isiyo verified account! Muwe mnatumia akili zaidi ya kujichosha bure. Ndiyo maana mnapelekwa pelekwa kijinga!
 
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho

Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa

Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika

Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
CHADEMA NI UGONJWA unaopunguza uwezo wa kufikiri, ukiugua lazima uwe kichaa
 
Tusha wapa mlicho kipanda mwaka 2017 pale dodoma hivyo tulieni
Amweleze ili iweje, Kwa nini asikanushe yeye?

Ile ni Account yake binafs, kwani anachotaka kukiandika mpaka amshirikishe Lema?

Unatetea ujinga wewe
 
Jamaa walitandikwa vibaya sana, yaani ilikuwa ni pambano la upande mmoja kama kumpambanisha Roman leins na Japheth Kaseba kwenye. WWE.
Jana ile ilikuwa knock out
 
Unajua maana ya kudukuliwa?ina maana account haipo mikononi mwake sahizi hana access ,ipo kwa aliyedukua ,kitu gani huelewi hapo
Mzee acha kutetea ujinga Kuna mambo hayaitaji siasa kubali tu ukweli Chadema imetereza
 
[emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20200728-190817.jpg
 
Hata zile picha za mwanzo zilipovuja mitandaoni Mamvi akiwa na viongozi wa kamati kuu CDM ulitolewa utetezi wa kiboya kabisa kama huo wa Lema kwamba ni Photoshop.

Lema na Mdee wako loyal kishenzi kwa mwamba kuliko hata Mzazi mwenzie Joyce mpaka unahisi jamaa huwa anawatindua.😁.
 
Twitter ni moja ya mtandao mgumu sana kudukua duniani ... unatumia mpaka na magaidi kwa kigezo hicho cha security na privacy ingekua ni simple hao wasiojulikana wangeanza na account ya KIGOGO
 
Back
Top Bottom