nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ujinga wa vijana wa chadema unatia wasi wasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani huku kuna watu wana akili ndogo kama maisha ya funza (Hasa wafuasi wa Magufuli) Mnakaa mnabishania tweet ambayo imetoka kwenye akaunti isiyo verified account! Muwe mnatumia akili zaidi ya kujichosha bure. Ndiyo maana mnapelekwa pelekwa kijinga!
CHADEMA NI UGONJWA unaopunguza uwezo wa kufikiri, ukiugua lazima uwe kichaaLeo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Sikuoni lupaso kulikoni?
Mbona unafosi utajuaje sugu ndo amemweleza kuwa kadukuliwa au umeamua tu kukata mauno hapa kujitoa ufahamu
Amweleze ili iweje, Kwa nini asikanushe yeye?
Ile ni Account yake binafs, kwani anachotaka kukiandika mpaka amshirikishe Lema?
Unatetea ujinga wewe
Washavurugwa hao tangu jana pale Airport
Jana ile ilikuwa knock out
Jana ile ilikuwa knock out
Kivipi yani
Mtajinyea sana mwaka huuJamaa walitandikwa vibaya sana, yaani ilikuwa ni pambano la upande mmoja kama kumpambanisha Roman leins na Japheth Kaseba kwenye. WWE.
Mzee acha kutetea ujinga Kuna mambo hayaitaji siasa kubali tu ukweli Chadema imeterezaUnajua maana ya kudukuliwa?ina maana account haipo mikononi mwake sahizi hana access ,ipo kwa aliyedukua ,kitu gani huelewi hapo
Mzee acha kutetea ujinga Kuna mambo hayaitaji siasa kubali tu ukweli Chadema imetereza
Hatukuchelewa mkuu lkn kwakuwa wengine hupenda kusikiliza wakipendacho bcHiyo mi sikatai but nachopinga ni watu kuforce kwamba sugu hajadukuliwa ila chadema kuchelewa wamekosea
Mimi nipo Tanzania.Hivi nawe uko CHADEMA?
Sugu kasaliti chama. Asubiri kutimuliwa kwenye hicho chama kama ilivyo ada ya chama hicho.Hongera Sugu hii ina zidi kudhihilisha kuwa Mbeya hakuna unafiki