Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

ni fake news.

Sugu mwenyewe kakanusha kupitia Instagram account yake hii hapa chini....

 
Naona chadema inawatoa vidonda vya koo, na hapo bado maana mziki ndiyo kwanza fundi mitambo anaandaa show yenyewe.

Subirini kampeini zianze ndiyo mtakoma kudadadeeeki
 
Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?

Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Kwani kuna mtu amewalaumu kwanini hamkwenda msibani? Au mnaelezwa kwamba viongozi wenu hawakufuata utaratibu ndo maana wakazuiwa kuingia.
 
Kwani kuna mtu amewalaumu kwanini hamkwenda msibani? Au mnaelezwa kwamba viongozi wenu hawakufuata utaratibu ndo maana wakazuiwa kuingia.
Vyovyote itakavyo kuwa na hapa mtu anajibiwa kulingana na post yake inasemaje!
 
ni fake news.

Sugu mwenyewe kakanusha kupitia Instagram account yake hii hapa chini....

View attachment 1519817
Ccm bhana.. uongo na fitna kwao ni ibada
 
Reactions: BAK
Yaweza kuwa kweli account imedukuliwa
Ila
Akaunti ikishadukuliwa ni vyema angetoa taarifa haraka. Yaani wanatoa taarifa ya kudukuliwa baada ya ujumbe.
 
Wahusika wameshakiri kosa bado unasema serikali imechangia aiseee
Serikali isingekubali Lisu aingie msibani pale kwa hali ilivyo kisiasa. Lisu angeshangiliwa sana na umati. Hivyo ingekuwa sad, kwa hiyo serikali inapambana kila namna japo hali ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…