Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Safi mh sugu inawezekana wewe ulicherewa kupata akili zikabaki wale wengine waliwahi mapema hadi walitamani wapigwe na polisi ili wapate kiki kimataifa lakini haikuwa wamebaki kushangaa tu
 
Hiyo ni akaunti ni yake kweli?...kuhusu kuchelewa huenda wamefanya makusudi kutengeneza tukio.
 
Leo priority ilikiwa viongozi wa madaraka kufika kwanza! Leo tumeondoka makwetu saa 12 na nusu asubuhi nyumbani ila tumefika maofisini saa 3 asubuhi.

Unless CDM na msafara wao wangeondoka makwao saa 11 alfajiri ndiyo wangewahi shughuli hii.

Siwalaumu, lakini wangepewa usindikizaji wa vyombo vya usalama basi wangewahi kufika tu pale uwanjani kuaga mwili.
 
Walifika kwa muda muafaka sema tu ni ile mapokez ya Jana yamewatisha
 
Walifika kwa muda muafaka sema tu ni ile mapokez ya Jana yamewatisha
Walitakiwa may be wafike saa 12 asubuhi...

Siasa za fitna...wataondoka mmoja mmoja...wote wakandamizaji wa demokrasia.
 
Hapana sidhan kama hio kitu inamake sense mkuu. Ni kujishtukia tu si umeona lema kaanza kujishtukia kisa lissu hajapokelewa kwa mabomu wala mikiki ya polisi. Wangewahi tungefahamu huo ukweli wenyewe.
Reference ni lowasa kuhani msiba kilimanjaro. Rais alikuwa kikwete, mwaka 2015 na hapo ccm walikuwa washamchinja kwenye kamati kihuni "wajumbe hawakusita kuimba tuna imani na lowasa". Hivyo huku nje walikuwa wana tabia ya kuzuia shangwe na mafuriko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sidhan kama hio kitu inamake sense mkuu. Ni kujishtukia tu si umeona lema kaanza kujishtukia kisa lissu hajapokelewa kwa mabomu wala mikiki ya polisi. Wangewahi tungefahamu huo ukweli wenyewe.
Ngoja wakimaliza mazishi, pengine tutang'amua lema alikuwa anamaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 
Mzee wa mahaba na chadema leo umejitoa ufahamu hizi siasa zenu ndio zinazowaharibu nakuonekana Ni kikundi Cha wahuni mbele za watu makini.Binafsi namshukuru Mungu sijawa kwenye ushabiki wa vyama venu hiv vya kipuuzi.
Mbona umepanic namna hii comrade?
 
Kwa kutumia hiyo post FAKE ya Jongwe, andishi lako lote limekosa maana. Kwa kuwa barua ya Chadema imeonyesha musa ambao walikuwa wanatakiwa kwa mujibu wa ratiba, hebu tuwekee ratiba ya msemaji wa serikali hapa!
 
Hakuna kitu kama hicho wewe gamba, sasa mbona hamjawafanya chochote zaidi ya kuruka ruka tu na kupiga majungu hapa jf?
Mbumbumbu mzungu wa reli.

Haukuelewa nilichomaanisha maskini!.

Linapokuja suala la kitaifa, viongozi wote wa kitaifa wakiwemo wabunge na wanasiasa, wanao wajibu wa kuwajibika bila kujali itikadi za vyama, ni tofauti na raia wasiokuwa viongozi.

Ulisoma popote nimesema sisiem ama chadema'apo?

Me siyo mshabiki wa magwanda wala magamba.
 
Mpona unamwaga mapovu kama loote? Ndiyo cdm hajaenda sasa kajinyonge
 
Account fake hii imedukuliwa na tayari lema g ameshatoa tahadhari ili watu wasije wakalizwa.

Huyu si Sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutumia hiyo post FAKE ya Jongwe, andishi lako lote limekosa maana. Kwa kuwa barua ya Chadema imeonyesha musa ambao walikuwa wanatakiwa kwa mujibu wa ratiba, hebu tuwekee ratiba ya msemaji wa serikali hapa!
Aitoe wapi zaidi ya mikurupuko tu ya kuagizwa na Chakubanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…