Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi wa Chadema wako kwenye system haiwezekani kila mara wanafanya makosa ambayo yako wazi.
 
Kwa msiba huu lazima atajifunza kitu muhimu sana.

Walivyo tegemea sivyo ilivyo kuwa kwa kiongozi mkubwa kama rais mstaafu.

Jaribu kuvuta picha ya mzee Mengi msiba wake ulikuwaje? Ruge msiba wake ulikuwaje?

Watu wana vidonda mioyoni
Hahahaaa kivipi mkuu???

Mi natamani sikumoja nimuone Stone anakubali sehemu alipopungukiwa
 
sawa tutajirekebisha.
 
Vikiwa vya moto ni mwendo wa kukana, pamoja na kaka Sugu kuamua kuwa muungwana timu ya wahafidhina imeamua kukaza. Adai alikuwa na Mbilinyi leo na akauti yake ikadukuliwa, akaamua kukaa kimya mpaka mdukuzi alipotoa ujumbe.

 
Ila kiprotocal chadema wamechemsha leo, kawaida inatakiwa kuingia mapema kwenye shughuli kabla mkuu wa nchi ajaingia. Labda Kama kwa sababu ya uchovu wa Safari alipitiwa usingizi
 
Wacheni habari za kuokoteza kutoka kwa wahuni wa lumumba.
 
Reactions: BAK
Safi sana Sugu. Huo ndio ukomavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…