Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Lema huyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe walichelewa ?Sasa kwa nini wanabweka kama mambwa kuwa wamezuia ?Au ndo kama ya Mbowe kuvamiwa kumbe kala mzinga kisa mzinga wa Konyagi.
Alikuwa na Sugu leo ila baada ya ujumbe kufika ndio amedukuliwa, alikuwa wapi muda wote. Kukosea sio shida wakubali na kujirekebisha tu.Wacheni habari za kuokoteza kutoka kwa wahuni wa lumumba. View attachment 1519667
Wewe nawe akili yako haina akili tunaongelea issue ya leo wewe unaleta habari ya mwaka juzi!Nyinyi mbona mliwakataza hata wabunge wenu kwenda hospital Nairobi kumjulia hali mh Lissu?
Hio akaunti si ya kweli,Chama kimeshatoa taarifa kwa umma na kueleza tukio zima lilivyokua
Hahahhaha... Kama kawaida yenu mnaenda beatYees protokali lazima ifatwe
Ratiba viongozi hupewa na idadi ya ujumbe na sehemu ya kukaa, hiyo uliyoisikia ni taarifa tu kwa umma. Ninachokueleza ninauhakika nacho, acha mambo ya mtaani.Unamaanisha nini walipewa ratiba sio? Umeelewa kwanza nilichoandika? Jana jioni Serikali iliweka wazi kabisa ratiba kwa viongozi wote kwa namna ya kuafuata. Viongozi waliofuata ratiba si wajinga.....
Hata uandishi nina wasiwasi nao hapa kuna fitna toka kwa Tulia teamLeo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Hata uandishi nina wasiwasi nao hapa kuna fitna toka kwa Tulia team
Ila kiprotocal chadema wamechemsha leo, kawaida inatakiwa kuingia mapema kwenye shughuli kabla mkuu wa nchi ajaingia. Labda Kama kwa sababu ya uchovu wa Safari alipitiwa usingizi
Lema anaweweseka sababu ndio mmoja ya walioshauri wachelewe ili wapate kiki!