Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ratiba viongozi hupewa na idadi ya ujumbe na sehemu ya kukaa, hiyo uliyoisikia ni taarifa tu kwa umma. Ninachokueleza ninauhakika nacho, acha mambo ya mtaani.
Wewe nawe akili yako haina akili tunaongelea issue ya leo wewe unaleta habari ya mwaka juzi!
Alikuwa na Sugu leo ila baada ya ujumbe kufika ndio amedukuliwa, alikuwa wapi muda wote. Kukosea sio shida wakubali na kujirekebisha tu.
Halafu umeona hiyo headingUdukuzi hautawasaidia chochote wanafiki wakubwa nyie !
Udukuzi hautawasaidia kitu wanafiki wakubwa nyieLeo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Maccm hayana akili kabisa.......Udukuzi hautawasaidia chochote wanafiki wakubwa nyie !
Kwangu mimi hawakupaswa hata kwenda kwenye hiyo shughuli. Maana ukiacha Tundu Lisu ambaye amekuja jana. Toka jpil huo mwili uko hapo uwanjani, wangeweza kwenda kama walikuwa na nia ya kuaga kweli. Huyo Mkapa sijawahi kumuona kwenye msiba wa mwanacdm yoyote, kwanini wao cdm wahudhurie msiba wa mtu aliyekuwa anawafanyia hujuma za wazi?
Kwanza tuwashukuru sana kwa hata huo MOYO wa kujaribu kwenda huko, maana siyo lazima
Unajua fika kuwa Nairobi asingefika kama Serikali ndiyo ulipanga kumuua. Baada yatukio, huduma ya kwanza, iliyokoa maisha yake, ilisimamiwa na viongozi wa juu wa Serikali.Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Imedukuliwa hvyo sio kweliHiyoo account Na wasi wasi nayo.
Walitaka apelekwe muhimbiri ndo wamalize mchezo tukastukaUnajua fika kuwa Nairobi asingefika kama Serikali ndiyo ulipanga kumuua. Baada yatukio, huduma ya kwanza, iliyokoa maisha yake, ilisimamiwa na viongozi wa juu wa Serikali.
Kwangu mimi hawakupaswa hata kwenda kwenye hiyo shughuli. Maana ukiacha Tundu Lisu ambaye amekuja jana. Toka jpil huo mwili uko hapo uwanjani, wangeweza kwenda kama walikuwa na nia ya kuaga kweli. Huyo Mkapa sijawahi kumuona kwenye msiba wa mwanacdm yoyote, kwanini wao cdm wahudhurie msiba wa mtu aliyekuwa anawafanyia hujuma za wazi?
Ligi ya chandimu, unanichosha.Usifikiri hatujui. Idadi ya watu iwe nini ratiba na kila kitu lazima kifuatwe. Huwezi kwenda saa tatu na msafara kutaka kuingia tu wakati taratibu zinafahamika. Jua najua zaidi yako
Unajua fika kuwa Nairobi asingefika kama Serikali ndiyo ulipanga kumuua. Baada yatukio, huduma ya kwanza, iliyokoa maisha yake, ilisimamiwa na viongozi wa juu wa Serikali.
Chadema ndio inawategemea vijana hawa kufanya uenezi wa demokrasia humu JF.
KINACHOWAPONZA NINYI CHADEMA ni kitu kimoja mmejivika umalaika sana tena sana.
Hamjawahi kukosea wala hamtaraji kukosea.