Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Fake news
1596000257218.jpg
 
Lisu anakujaje kwa huu uzi?
Hivi mtaacha lini kumsema vibaya mgombea wetu?


Ni vyema kama mtazivua akili za ki Musiba Musiba enyi watu wa mtaa wa Lumumba.
Chadema kwa kupenda kiki😕😕😕

Walijua wataweka attention,huyo Lissu wenu keshadoda

Aliewashauri kawaponza
 
Kama ni kweli, kuna michezo hatari sana kwa Taifa na huu wa kudukua ni hatari sana

Ipo siku mtu mbaya ata hack na kuleta taharuki kama si maafa au mtafaruku wa kidiplomasia

Hakutakuwa na nafasi ya kujua mdukuaji kwasababu anafanana na hawa walioruhusiwa

Hii ni hatari sana.
 
Acha uongo viral kwa vipi?
Hata FB HAKUNA statement ya CHADEMA, wala Press release hata uki google.
Tupe link.
Maswali yatabaki pale pale na ni basic.
KWA NINI WALICHELEWA?
Katibu mkuu wenu si makini sana , na inaelekea hakuwa na mawasiliano nini kinaendelea.
20200729_090620.jpg
20200729_090559.jpg


kuna maswali?
 
Back
Top Bottom