Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

Tatizo sio lugha ni ubora wa elimu. Halafu mtu akisikia wazungu anajua wote wanaongea au wanatumia kingereza kwa kufundishia. Ukiacha marekani, uingereza, Canada na nchi nyingine chache, zilizobaki zinatumia lugha zao.kwa kila kitu na wako mbali kimaendeleo.
 
Sio dharau ndio ukweli halisi mwandalie mtoto elimu nzuri hata hizo English medium zinafaa sana tena ni cheap izo st kayumba ndio zinazotoa vijana wavuta bangi wakabaji walevi wa pombe za nimeyaona haya mana ata Mimi nilisoma kayumba miaka hiyo
Ambao hatujasoma English medium kumbe ni wavuta Bangi?
 
💯
 
Tatizo wala sio English, tatizo ni performance ya hizo shule ipo juu kuliko hizi za kayumba.

Maana hizo hizo English medium hata kiswahili wanafaulu vizuri kuliko wa kayumba wa kiswahili medium
 
Samahani mkuu wewe ulisoma English mediuam? kama sivyo kwa sasa unashinda vilabuni na kuvuta bangi? kama ni ndio ulifundishwa kwenye shule za kayumba kuwa utakuwa mlevi na mvuta bangi?
 
Kwa hiyo Zablon wameacha kumwimbia Bwana wa majeshi wamegeuka kuwa waburudisha Ruto?
 
Kwa hiyo Zablon wameacha kumwimbia Bwana wa majeshi wamegeuka kuwa waburudisha Ruto?
Wangekuwa sio waburudishaji wasingekuwa wanapata views wengi huko social media, Ruto mwenyewe aliwafahamu kupitia aliwafahamu baada ya kuburudishwa huko social media
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania kwa sasa wako vizuri sana hapa Afrika Mashariki kuliko Nchi zingine. Kwa kutumia kipimo cha utalii wageni wengi wafurahi kuwa Tanzani na mawasiliano yanaeleweka. Hawa wengine wakiongea English hata haileweki lafudhi mbovu sana. Mtz akijua lugha anaongea unafurahi kusikiliza
 
ila kuna kaushamba flani hivi kwa wazazi wengi juu ya hizi shule za English medium .Ukweli mchungu waalimu wengi wa hizi shule hawajui kuzunguza kingereza fasaha wengi wanaunga unga ,wengi ni kingereza kile cha kisekondari cha shule za Tanzania,hawana exposure wakikutana na mzungu wa kutoka lUS jasho la kwapani lina watiririka. Kama mzazi una kisu kikali alafu unataka mwanao ajue yai nzuri peleka shule ambazo kuna waalimu wenye exposure.
 

Kuna mada anasema mambo ya maana sana. Kuna zingine anasema uongo, na hasa suala la dini na imani. Tika kale hata mababu zetu walikuwa na namna za kuabudu.

Binadamu tulivyo, rohoni lazima tujishikishe kwenye kitu fulani..haiwezekani ikawa wazi na ombwe.
 
Usitumie kauli ya huwezi kuikwepa kuna mataifa yameikwepo na yanafanya vizuri kielimu na kiuchumi.
 
Weka link mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…