Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

Ili uelewe vizuri, tafuta salary scale za watumishi! huyo mwenye degree uliza ana staafu akiwa na level gani ya mshahara hapo ndio utajua kuwa watumishi wa umma wanapitia magumu.

Naamini hapo utakuwa katika position nzuri sana ya ku argue basing on reality!

Haya unayoyasema ni mtazamo tu, kama motivation speakers wanavyo motivate watu without regarding reality ya kipato cha mtanzania au watumishi wa umma.

Sio rahisi mtumishi aache kulipia ada watoto, au kuhudumia familia, aanzishe project itakayo mcost lot of money wakati cash in-flow ni kiduchu, atafungwa au kufilisiwa hata hicho kidogo alichinacho.

Waulize waajiri kuhusu madeni waliyonayo, watumishi wao, ndio utajua uhalisia wa hichi tunacho jadili hapa.
 
Kwani serikali ndio nini labda mkuu?

Kwani huyo mtumishi halipi Kodi ?

Au labda unazungumzia watumishi wa wapi ?
 
Ideal ungeweka hizo evidence tujadili.

Anyway jioni njema JF nayo ukiendekeza ufanyi shughuli zingine.

Ciao 👋
 
Kwani serikali ndio nini labda mkuu?

Kwani huyo mtumishi halipi Kodi ?

Au labda unazungumzia watumishi wa wapi ?
Mfanyakazi wa Serikali sawa Analipa halafu anakuwa refunded mlango wa nyuma asilimia 15 ya kuchangiwa mifuko ya pension fund bure kabisa

Kwani walipa kodi wafanyakazi wengine mfano wa sekta binafsi ambao pia hulipa kodi serikali huwa inawalipia asilimia 15 nao kwa kuwa ni wafanyakazi walipa kodi?

Kwa nini imebagua kulipia wafanyakazi walipa kodi wa serikali tu na kuacha wafanyakazi wa sekta binafsi walipa kodi kama hao wa serikali kodi ziendazo serikalini kuwachangia nao hizo asilimia 15? Ili wawe sawa na wenzao wa serikali kufaidi kodi wanalipa? Kikokotoo kinawaibia walipa kodi wengine ili kufaidisha wafanyakazi wa serikali

Kikokotoo hiki cha sasa kijizi asilimia 15 ziondolewe kwenye kulipa mafao

Walipwe kwa asilimia 5 walizochangia tu

Kikokotoo cha sasa kijizi
 
Hiyo posts inaongelea watu wanaokaa nyumba za serikali na wanaopata marupurupu tele, halafu wanastaafu bila ya kujenga. Sasa hawa kutokujenga alaumiwe serikali pia.
suala sio kujenga au kutojenga suala ni wastaafu kupewa haki yao mtu amestaafu mpe 100% zake, iyo ishu ya kujenga umechukuliwa kama mfano lakini sio hao pekee ambao wanakutana na changamoto baada ya kustaafu hata kama amejenga kwanini umpe 30%? We mpe 100% akafanye anachojua yeye mwenyewe, izo nchi unazosema hakuna cha bure na wao wakistaafu wanakutana na kikokotoo?
 
Kichekekesho ni pale viongozi waandaamizi kama Rais, waziri mkuu nk nao wakistaafu wanapewa nyumba, huku wakilipwa 80% ya mshahara apatao aliye madarakani kwa wakati huo!
 
Huyu jamaa huwa anatumia hekima za standard 7 kwa kujua sasa tunahitaji kwenda majimboni tangu ajenda ya kikotoo imeanza namsikia bulaya tu msukuma ulikua wapi!
 
Kila Boss alipe watu wake ? Na huko sekta binafsi ni wafanyakazi gani hao wanaolipa Kodi ?


Kama unazungumzia wafanyakazi wenye taaluma zao huko sekta binafsi sawa , lakini kaangalie madaraja ya mishahara Yao alafu ulinganishe na mishahara ya watumishi wa umma.?
 
Mfano Engineer mwenye shahada sekta binafsi wanakunja mpaka 2M - 4M ukijumlisha na posho wakati Engineer aliyeajiriwa serikalini mwenye shahada hio 2+M labda aibe.

Cha msingi kila Boss alipe watu wake.

Hizo swagger za asilimia 15 ziondolewe, huo ni uvunjifu wa amani.
 
Wafanyakazi wengi wa serikali hawaelewi financial planning na ndiyo maana wanalaumu kikokotoo. Na huu mkanganyiko unatokana na kutokutolewa elimu ya fedha na uwekezaji awali kabisa kwenye maisha ya watumishi. Kinachotokea ni kuwa watumishi wengi wanadhani wakipata hiyo hela zote eti maisha yao yatakuwa bora hapana kabisa tena wengi wataishia kufa na kupotea kabisa.

Mfano mtu anayepata mashahara wa makadirio ya mil 1.2, mkupuo tuseme ni mil 90, kikokotoo atapata mfano mil 30, akiwekeza anapata kama laki 2.6, na ile ya mwezi kama laki 6, ukijumlisha ni kama laki nane ila angepata yote mil 90 akiwekeza atapata laki 7, na mara zote mtumishi hawezi wekeza zaidi ya kufanya miradi isiyolipa. Nadhani serikali ijikite kutoa elimu zaidi kwa watumishi
 
wabunge hawataki kukubali kwa sababu wao ndo wanaoongoza kukopa kwenye hayo mashirika i.e NSSF, wastaafu wakipewa yote watakopa wapi? ndio mentality yao
 
We
Inashangaza yaani unazungumza alinacha! Kama hujui jambo ni bora kukaa kimya kuliko kutunga hadithi ambazo huzijui. Andiko lako kwanza linaonyesha huna idea ya viwango vya mishahara serikalini watumishi wanavyolipwa ila na wewe kwa saba umetaka uonekane umechangia basi unaropokaropoka.

Nafasi za kazi serikalini mbona zinatangazwa mara kwa mara kama huna sifa sio sababu ya kuwachukia watumishi hawajakuzuia kuajiriwa .
 
Kama ni hivyo kwa nini kuna double standard.? Mawazir na wabunge watumie Kikokotoo hicho hicho kama ni kizuri
 
Yaani unaongea upuuzi


Mtu analipwa pesa laki 3 Hadi 6 anastaafu


Unadhani anafanya jambo gani la maana?

Pesa wanayolipwa watumishi wengi ni ya kujaza tumbo ili wapate nguvu maana hata kula haitoshi.


Halafu hizo pesa ni zao, acha upumbavu wa kumpangia mtu namna ya kutumia pesa zake
 
Unajua kama hao wafanyakazi wanakatwa Kodi Kila mwezi?


Yaani mtu umemuajiri, umamlipa pesa kiduchu Kisha unamlipisha kodi


Halafu kuna bumunda anakuja kuongea ujinga
 
W
Wewe bumunda unajua mishahara ya serikali au ili uongee?

Kuna watu wakikusanya take home mwaka mzima wanapata milioni 4 hadi 6. Wewe unakuja kuongelea habari ya milioni kadhaa kwa mwezi.

Mkae kimya kama hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…