Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Sasa kama kutokusoma ni Bora, kwanini Msukuma kwenye migodi yake aajiri wasomi wenye Master's.
Si angekuweka wew ambae hujasoma.
Kuajiriwa ni utumwa siwezi kuajiriwa katika maisha yangu yote nimeshavuka level hizo ndugu.
 
Unachanganya mambo! Huyu hana qualifications ila elimu anayo, pengine kubwa kuzidi hata ile ya kwano wewe uliyetumia miaka kadhaa ukiwa umekaa kwenye viti madarasani

Sasa Kama elimu anayo kwanini kalipia ada ya 250 kupata PhD?. Na kujilazimisha kuwa lecture, About na utajiri wake kaamua kupewa PhD. Jiulize.
 
Msukuma ni aina ya wajinga ambao tulionao hapa tanzania.yeye anaongea tu kama kasuku hajui hata Phd inapatikanaje.shida tumeanza kuwaita ma Dkt wakati hao hawapaswi kuitwa hivo.msukuma ni mjasiriamali tu na hana chochote kichwani mwake ni seti tupu huyu.
 

Halafu huyo Bakhresa akihitaji operation ya miguu anawatafuta madaktari bigwa wa upasuaji. Usiidharau Elimu.
 
UZI UFUNGWE KWA HII COMMENT
 
Kuna doctor Tanzania aliyeandika alichokivumbua yeye! Au kuonyesha ubora wa kukariri content za nje, elimu isiyokuwa results oriented ni kifungo cha maisha badala ya ufunguo wa maisha…

Msukuma amevumbua Nini?. Kapewa PhD ya kununua halafu unasema kavumbua kitu gani?. Tupunguze dharau kwenye elimu kisa Kuna watu wamepata pesa kwa ndago.
 
Tunasoma tupate nini?
Si maarifa!
Lakini kwanini wasomi wametufelisha kupata hayo maarifa?
Toka miaka ya 60 Tanzania ndiyo hii tu.
Hebu tuwasikilize na hawa wenye maarifa naturally pengine watatuvusha, hawa wengine wemekuwa wakisoma sijui wanasomea kuiba, maana hakuna cha maana kabisa, si wapinzani wala watawala hivyo tu.
 

Tatizo lako unawataja wenye fedha na kuiona elimu haina maana. Elimu na kutafuta fedha ni vitu viwili tofauti. Nikuulize kwa Tanzania wenye elimu ya juu na darasa la Saba wangapi wanaenjoy Maisha?
 
Kuajiriwa ni utumwa siwezi kuajiriwa katika maisha yangu yote nimeshavuka level hizo ndugu.
Hata Kama umejiajiri, Kama una biashara yako ya maana kweli. Lazima kuna mahali unawategemea wasomi.
Na wengine unawaita watumwa.
 
Msukuma amevumbua Nini?. Kapewa PhD ya kununua halafu unasema kavumbua kitu gani?. Tupunguze dharau kwenye elimu kisa Kuna watu wamepata pesa kwa ndago.
Pesa ingekuwa inapatikana kwa ndago kila mmoja angekuwa nayo.. Binafsi msomi asiye na pesa licha ya kuwa na elimu namdharau sana sababu elimu yake haijamsaidia.
 

Watanzania wataamua au wanafunzi chuoni? Mbona analeta comedy kwenye elimu.
 
Hivi huyo mbuzi anaweza kuongea hata sentence mbili za kiingereza kweli?
 

Mbona wasomi wengi Wana pesa Sana. Sijui shida ipo wapi. Tatizo mnawakubali wauza ngada na utajiri wa ndago lakini wasomi wenye pesa za procedure mnawadharau.
 
Huyu anapaswa kutafutia mjadala mkali wa kiingereza akadhalilike na iwe mwisho wake wa kuongea UJINGA.
Unataka kusema English ndiyo kipimo cha elimu?
Hivi mtaamka lini nyie?
Hebu nenda china, Korea kusini+ kaskazini.
 
Unakuwa na elimu halafu ukose qualifications?. Huyo Hana elimu wala qualifications alichonacho ni experience.
Uko sahihi ila experience maana yake ni elimu ambayo mtu amejifundisha mwenyewe na kwa maana hiyo wewe umempandisha zaidi hadhi. Kwa kiasi kikubwa, experience ni elimu ambayo ni self taught. Ni elimu ambayo kwa kiasi kikubwa mtu huwa anajifundisha mwenyewe
Elimu isipoambata na certification ya cheti, inakuwa ni elimu ambayo haina qualifications kwa sababu inakuwa haina vigezo vya namna ambayo watu wengine wanaweza kuipima; inakuwa ni Latent Education
Msukuma anayo elimu kubwa tu ila hana qualifications
 
Umemaliza kila kitu.
 

Tofautisha kutafuta pesa na elimu. Mtu kasomea Botany miaka mitatu, wewe upo mtaani miaka Saba, lazima akuulize Hali ya mtaani ipoje kwenye biashara. Yeye amebobea kwenye botany na anapokosa kazi au ajira kwenye Eno lake atatafuta njia za kupata pesa kwa muda ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…