econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Msc mbali afundishe hata certificate tu
haaaa haaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msc mbali afundishe hata certificate tu
Ana content ya kufundisha mwaka mzima?
Akabidhiwe afundishe Econometric
Kuajiriwa ni utumwa siwezi kuajiriwa katika maisha yangu yote nimeshavuka level hizo ndugu.Sasa kama kutokusoma ni Bora, kwanini Msukuma kwenye migodi yake aajiri wasomi wenye Master's.
Si angekuweka wew ambae hujasoma.
Unachanganya mambo! Huyu hana qualifications ila elimu anayo, pengine kubwa kuzidi hata ile ya kwano wewe uliyetumia miaka kadhaa ukiwa umekaa kwenye viti madarasani
Elimu anayo kubwa sana; asichokuwa nacho ni qualifications!
Wewe ndio wasema hivyo, huko kwenye dunia ya kwanza Bill Gates ni college dropout, Kanye west, Elon Mask na watu wengi tu wa class yako ya kwanza hawajamaliza au kusoma vyuo…. Niambie USD Billionaire Jay z au Lebron James, Messi, Ronaldo na kina Silvester Stalon wana degree za wapi…
Pharrell Williams kawa director LV na hana hivyo vyeti vyenu zaidi ya ubunifu na vipawa. cheki output yao kwa jamii na kwao binafsi…Elimu yetu ni kifungo cha maisha… maana tunakariri kuwa msomi ndio high class… high class ni mtu mwenye kipaji, maarifa, ubunifu.
Unaweza compare idadi ya watu wanaoishi kwa kutegemea ujira wao kutoka kwa ma professor wote wa TZ vs Barkhresa pekee? Tena ambaye sio msomi, achilia mbali kina msukuma.
Endelea kuzunguka na bahasha ya kaki..
UZI UFUNGWE KWA HII COMMENTMsukuma ni aina ya wajinga ambao tulionao hapa tanzania.yeye anaongea tu kama kasuku hajui hata Phd inapatikanaje.shida tumeanza kuwaita ma Dkt wakati hao hawapaswi kuitwa hivo.msukuma ni mjasiriamali tu na hana chochote kichwani mwake ni seti tupu huyu.
Kuna doctor Tanzania aliyeandika alichokivumbua yeye! Au kuonyesha ubora wa kukariri content za nje, elimu isiyokuwa results oriented ni kifungo cha maisha badala ya ufunguo wa maisha…
Wewe ndio wasema hivyo, huko kwenye dunia ya kwanza Bill Gates ni college dropout, Kanye west, Elon Mask na watu wengi tu wa class yako ya kwanza hawajamaliza au kusoma vyuo…. Niambie USD Billionaire Jay z au Lebron James, Messi, Ronaldo na kina Silvester Stalon wana degree za wapi…
Pharrell Williams kawa director LV na hana hivyo vyeti vyenu zaidi ya ubunifu na vipawa. cheki output yao kwa jamii na kwao binafsi…Elimu yetu ni kifungo cha maisha… maana tunakariri kuwa msomi ndio high class… high class ni mtu mwenye kipaji, maarifa, ubunifu.
Unaweza compare idadi ya watu wanaoishi kwa kutegemea ujira wao kutoka kwa ma professor wote wa TZ vs Barkhresa pekee? Tena ambaye sio msomi, achilia mbali kina msukuma.
Endelea kuzunguka na bahasha ya kaki..
Hata Kama umejiajiri, Kama una biashara yako ya maana kweli. Lazima kuna mahali unawategemea wasomi.Kuajiriwa ni utumwa siwezi kuajiriwa katika maisha yangu yote nimeshavuka level hizo ndugu.
Pesa ingekuwa inapatikana kwa ndago kila mmoja angekuwa nayo.. Binafsi msomi asiye na pesa licha ya kuwa na elimu namdharau sana sababu elimu yake haijamsaidia.Msukuma amevumbua Nini?. Kapewa PhD ya kununua halafu unasema kavumbua kitu gani?. Tupunguze dharau kwenye elimu kisa Kuna watu wamepata pesa kwa ndago.
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma amesema vyuo vikuu 11 Tanzania vinamtaka akafundishe masuala ya uchumi aongeza kuwa anayepinga udaktari wake uchunguzi ufanyike na anayebisha wakae kwenye debate watanzania ndio wataamua.
Mjinga kwa angle ipi? Uchumi ni matendo na sio kuwa na utitiri wa makaratasi ambayo hayana impact yoyote kwako binafsi na jamii inayokuzunguka.
The way unavyoweza kuconvert ideas kuja kwenye pesa ndicho kinacho matter sana kuliko ngonjera za usomi na phd.
Unataka kusema English ndiyo kipimo cha elimu?Huyu anapaswa kutafutia mjadala mkali wa kiingereza akadhalilike na iwe mwisho wake wa kuongea UJINGA.
Uko sahihi ila experience maana yake ni elimu ambayo mtu amejifundisha mwenyewe na kwa maana hiyo wewe umempandisha zaidi hadhi. Kwa kiasi kikubwa, experience ni elimu ambayo ni self taught. Ni elimu ambayo kwa kiasi kikubwa mtu huwa anajifundisha mwenyeweUnakuwa na elimu halafu ukose qualifications?. Huyo Hana elimu wala qualifications alichonacho ni experience.
Umemaliza kila kitu.Wewe ndio wasema hivyo, huko kwenye dunia ya kwanza Bill Gates ni college dropout, Kanye west, Elon Mask na watu wengi tu wa class yako ya kwanza hawajamaliza au kusoma vyuo…. Niambie USD Billionaire Jay z au Lebron James, Messi, Ronaldo na kina Silvester Stalon wana degree za wapi…
Pharrell Williams kawa director LV na hana hivyo vyeti vyenu zaidi ya ubunifu na vipawa. cheki output yao kwa jamii na kwao binafsi…Elimu yetu ni kifungo cha maisha… maana tunakariri kuwa msomi ndio high class… high class ni mtu mwenye kipaji, maarifa, ubunifu.
Unaweza compare idadi ya watu wanaoishi kwa kutegemea ujira wao kutoka kwa ma professor wote wa TZ vs Barkhresa pekee? Tena ambaye sio msomi, achilia mbali kina msukuma.
Endelea kuzunguka na bahasha ya kaki..
Kuna kipindi nilikuwa najutia kwa kutopata elimu,
niliumia sana nikiona washikaji zangu wakimaliza vyuo vikuu.
Ila kwa sasa wao ndio wanaonifata kuomba maarifa ya jinsi ya kufanya biashara na kuingiza pesa.
Binafsi mm msukuma kusema hivyo nimemuelewa sana kuliko wengi mlivyomuelewa, leo hii ukienda kwenye migodi yake kuna watu wana master's achilia mbali kwenye usafirishaji. Hivi niwe na hela wewe una mivyeti yako nani mwenye elimu?
Kama una elimu na bado imeshindwa kukukomboa na mwisho wa siku ukaajiriwa na asiye na elimu,
Wewe hukusoma bali ulienda kupoteza muda.