Pre GE2025 Joseph Oleshangay: Kuna watu wanataka Kuvunja Chama ili kumtengenezea Samia Njia Nyeupe Ya Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Anaandika Wakili Joseph oleshangay

freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”

Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul.

Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila anasema malimbikizo ya ruzuku Kwa sababu wao walikataa

Pia anasema haiwezekani kubadili uongozi katikati ya mapambano. Strongman mentality.

Pia kwa hotuba yake msamiati wa term limit haipo kwenye kamusi yake.

Kwa ujumla @freemanmbowetz hajasema lolote kuhusu kubadili strategy ya mapambano wala kujibu hoja kuwa yeye ni mteremko wa CCM kufanya yake.

Walau inaonekana, ndani ya Chadema kuna kusigana kwa muda mrefu na hii ndio sababu hata kwenye operation za Chadema, Lissu anatumia gari yake binafsi.

Pia walau ni wazi Kwa muda kuwa wakati Lissu akifanya peoples movement, wenzake wapo katikati ya movement na kushangilia mfumo wanaodai kuwatesa.

Nikiona vijana wanaharakati ambao kila siku wanasema free @DEUSDEDITHSOKA et al, wapo na @TunduALissu na waliosema @DEUSDEDITHSOKA anajitekenya wapo na mwamba (nusu-jiwe). This says much

Wale akina mama 19 waliosemekana walipelekwa bungeni na Ndugai wapo na Mbowe…….

Balile anapata wapi nafasi ya ku moderate? Balile si ni CCM kabisa na kama ana la ziada ni wakala?

Ni ngumu sana kuamini kuwa utawala wa vyama vya upinzani haipo mikononi mwa mawakala wa mfumo tawala kuigiza kuna vyama vingi.

Namna CHADEMA establishment wanavyopambana na Lissu, CHADEMA sio siku nyingi ipo kwenye mserereko.

Lissu tu kutangaza kugombea uwenyekiti, imekuwa nongwa.

Kuna maneno kuwa mwenyekiti katikati ya kampeni 2020 alisema “Lissu anadhani atamshinda Magufuli “?……..

Anyway, kuna watu wanamtengenezea @SuluhuSamia ushindi bila kupora kura kama kawaida ya CCM.
 
..unaumwa wewe si bure!
 
Pia anasema haiwezekani kubadili uongozi katikati ya mapambano. Strongman mentality.
Mapambano ya miaka 20 na Upinzani wa milele?!

Tujuavyo Jemadari huwa anapambana akiona Ngome ni ngumu anabadilisha Tactics mpaka anaivunja Ngome ya adui.

Kama Mbowe angekuwa ndiye Jenerali wetu wakati wa Vita vya Kagera mpaka leo Vita hivyo vingekuwa vinaendelea na angeenda kufanya maridhiano na Iddi Amini na kulambishwa lambishwa Asali na huenda angempelekea Amini tuzo pale Kampala.

Wakati huo huo Iddi Amini angeendelea kuteka kupoteza na kuuwa Watanzania.
 
Anaandika Wakili Joseph oleshangay

freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”

Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul.

Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila anasema malimbikizo ya ruzuku Kwa sababu wao walikataa

Pia anasema haiwezekani kubadili uongozi katikati ya mapambano. Strongman mentality.

Pia kwa hotuba yake msamiati wa term limit haipo kwenye kamusi yake.

Kwa ujumla @freemanmbowetz hajasema lolote kuhusu kubadili strategy ya mapambano wala kujibu hoja kuwa yeye ni mteremko wa CCM kufanya yake.

Walau inaonekana, ndani ya Chadema kuna kusigana kwa muda mrefu na hii ndio sababu hata kwenye operation za Chadema, Lissu anatumia gari yake binafsi.

Pia walau ni wazi Kwa muda kuwa wakati Lissu akifanya peoples movement, wenzake wapo katikati ya movement na kushangilia mfumo wanaodai kuwatesa.

Nikiona vijana wanaharakati ambao kila siku wanasema free @DEUSDEDITHSOKA et al, wapo na @TunduALissu na waliosema @DEUSDEDITHSOKA anajitekenya wapo na mwamba (nusu-jiwe). This says much

Wale akina mama 19 waliosemekana walipelekwa bungeni na Ndugai wapo na Mbowe…….

Balile anapata wapi nafasi ya ku moderate? Balile si ni CCM kabisa na kama ana la ziada ni wakala?

Ni ngumu sana kuamini kuwa utawala wa vyama vya upinzani haipo mikononi mwa mawakala wa mfumo tawala kuigiza kuna vyama vingi.

Namna CHADEMA establishment wanavyopambana na Lissu, CHADEMA sio siku nyingi ipo kwenye mserereko.

Lissu tu kutangaza kugombea uwenyekiti, imekuwa nongwa.

Kuna maneno kuwa mwenyekiti katikati ya kampeni 2020 alisema “Lissu anadhani atamshinda Magufuli “?……..

Anyway, kuna watu wanamtengenezea @SuluhuSamia ushindi bila kupora kura kama kawaida ya CCM.
Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.

Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!

Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).

Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!

Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.

Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.

Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.

Amandla...
 
Hotuba yote ya Mbowe ili kuwa kumsifia Samiah na Maridhiano uchwara. Hakuongelea hata wanachama walipotezwa.
Hicho ni kitu cha kushangaza CCM wasingeweza kutoa hotuba nzuri zaidi ya hii kumsifia SSH.

Hakukosoa hata kitu kimoja kama, haki za ubinadamu, utekaji, mauaji ya awamu ya sita. Alijikita zaidi kushambukia awamu ya tano na kumshambulia Lissu na kujisifia.
 
Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.

Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!

Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).

Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!

Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.

Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.

Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.

Amandla...
Na wakati hayo yote Mbowe akifirigiswa Lissu alikimbilia uhamishoni na kuhamia Twitter!! Lissu alirudi kugombea kisha akatokomea ubelgiji leo hii anataka kuchukua control ya chama ili akiache kwenye mataa?

Mbowe kakomaa hapa hapa nyumbani pamoja na mateso yote leo hii mropokaji aloyebimbiana tumbo analeta za kuleta?

Nilimheshimu sana Lissu ila kwa tone aliyoonesha juzi ya shari nimemdharau sana. Yaani msigwa kupitwa kura moja na Sugu Lissu ananunua shari yake??

Kinachonishangaza kupita vyote ni wafuasi wake kumlaumu Mbowe kabla ya boksi la kura!! Hawa watu wana akili na wako serious kiasi gani?
 
Hakuanza leo.
1. Kama nakumbuka sawa sawa Lissu aliwahi kusema kuwa Mbowe hakumshikia drip baada ya kupigwa risasi bali ni Msigwa. Inawezekana ni kweli lakini aliisema kama vile Mbowe alikuwa anajipendekeza. Nikadhani ni kuteleza tu na ni hulka ya msema kweli.
2. Akaanza kuzungumzia mapungufu ya chama chake jukwaani. Alipoulizwa, akasema akasemee wapi? Insinuation ni kuwa Boss wake anayakumbatia.
3. Zikaanza tuhuma za yeye na Msigwa kutaka kufanya mapinduzi, akakaa kimya. Msibwa akawa anamtukana Mbowe, yeye kimya. Msigwa kahamia CCM, yeye kimya. Msigwa akawa anashambulia CDM na Mwenyekiti wake, yeye kimya.
4. Chadema wakatangaza kikao cha Kamati Kuu. Yeye wala hakujisumbua kuhudhuria badala yake publically akahudhuria mazishi ya mpiganaji mmoja wa CDM. Hii ni dhahiri ilikuwa kuonyesha kuwa Mbowe hajali wanachama wake.
5. Akaibua hili la kuhongwa na Abdul. Hadithi ambayo haina kichwa wala miguu.
6. Akazungumzia watu kung'ang'ania madaraka. Wote tulijua anamsema Mbowe

Kinachonisikitisha ni kuwa haikupaswa kuwa hivi. Angeweza kugombea bila kumpaka matope Boss wake. Nadhani washauri wake walimwambia kuwa ukitaka kuhakikisha kuwa nyoka amekufa inabidi umkate kichwa. Hivyo shutuma, maneno ya ovyo n.k. vingemtisha Mbowe kutangaza nia. Big miscalculation. Badala yake anaonekana kama opportunist asiyekuwa na chembe cha loyalty.

Na sasa, kama atashindwa, nafasi ya kugombea urais itakuwa hati hati. Labda ahamie ACT-WAZALENDO. Akifanya hivyo atawasaidia kupata wabunge wengi pengine hata zaidi ya CDM. Lakini yeye heshima yake itakuwa zero.

Nilikua nampenda na kumwamini sana Lissu hadi pale alipoonesha utoto.
Ile siku anatangaza kugombea ni wazi alionesha shari sana!! From there nilimuona ana utoto mwingi.
 
Hata Lisu akishinda nafasi ya uwenyekiti, mwakani mtakuja kusema Mbowe amemuhujumu Lisu, mnaonekana bado mnaweweseka na kuwa na uelewa mdogo kuhusu demokrasia.

Lisu anauwezo kujieleza, ila hana subira. Hata akisoma message humu anaweza kuita press.

Kaamua kugombea, ajiandae kwa uchaguzi.

Kelele zote hizi za nini?
 
Nimewakumbuka wanachama wa Chadema na members wenzetu hapa; Mohamed Mtoi, Ben Saanane, Regina, na Alphonce Mawazo, waendelee kupumzika kwa amani. Kwa hakika walivutia watu wengi kufuatilia siasa za chadema.

Kwa sasa na baada ya uchaguzi kama Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti ni dhahiri Chadema itaelekea upande wa CUF, na NCCR mageuzi.

Mbowe na wanachama wengi hawakutegemea Lissu kutangaza nia ya kuwa Mwenyekiti, na alikuwa awe replaced na Wenje, kwahiyo hawakujipanga wala kutegemea hili na ndio maana limeleta hamaki sana.

Ila uzuri wa hili limeonyesha jinsi chama hali yake ilivyo mbaya na kukosa mwelekeo na kuvunja matumaini ya watu wengi waliokuwa wanakiangalia Chadema kama chama makini.

Bila Lissu kutangaza adhima yake, uchaguzi ungeisha kimyakimya kama siku zote.

.
 
Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.

Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!

Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).

Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!

Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.

Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.

Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.

Amandla...
Umeandika maneno meengi pasipo sababu, kwa kifupi tu ungesema Mbowe ana tamaa sana ya madaraka...yeye na Lipumba ni mapacha!!.
 
Back
Top Bottom