zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Punguza utoto haujui kama Mbowe alikimbilia dubai kwa miezi 6 kabla ya JPM kufariki ndio akarudi.wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza utoto haujui kama Mbowe alikimbilia dubai kwa miezi 6 kabla ya JPM kufariki ndio akarudi.wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Kwamba Mbowe amefanya maandamano kuliko Lissu? We uliona clip za Lissu kule dodoma wakati anarudisha fomu NEC na kampeni zake kule Tarime alipopambana kuandamana mbele ya mitutu ya polisi. Mbowe hawezi confrontational politics!! Ni too soft and too diplomatic to threaten CCM.Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine.
Kwa hiyo? Na wengine nao walirudi baada ya kufariki JPM? Na mahbusu yake yalikuwa Dubai?Punguza utoto haujui kama Mbowe alikimbilia dubai kwa miezi 6 kabla ya JPM kufariki ndio akarudi.
Kumbe mnachotaka ni confrontational politics? Na wangapi waliungana nae? Na aliibiwaje kura?Kwamba Mbowe amefanya maandamano kuliko Lissu? We uliona clip za Lissu kule dodoma wakati anarudisha fomu NEC na kampeni zake kule Tarime alipopambana kuandamana mbele ya mitutu ya polisi. Mbowe hawezi confrontational politics!! Ni too soft and too diplomatic to threaten CCM.
Nyie shabikieni ujinga tu mwakani tuone CCM wakijikombea tena majimbo yote na Mbowe anaitwa mezani kuwatuliza
Ndio nasema Mbowe alikimbia nchi so sio kweli kuwa aliyekimbia ni Lissu tu.Kwa hiyo? Na wengine nao walirudi baada ya kufariki JPM? Na mahbusu yake yalikuwa Dubai?
Amandla...
Anzisha chama chako ili kiwe mfano halisi wa upinzani unavyotakiwa kuwa.Anaandika Wakili Joseph oleshangay
freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”
Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul.
Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila anasema malimbikizo ya ruzuku Kwa sababu wao walikataa
Pia anasema haiwezekani kubadili uongozi katikati ya mapambano. Strongman mentality.
Pia kwa hotuba yake msamiati wa term limit haipo kwenye kamusi yake.
Kwa ujumla @freemanmbowetz hajasema lolote kuhusu kubadili strategy ya mapambano wala kujibu hoja kuwa yeye ni mteremko wa CCM kufanya yake.
Walau inaonekana, ndani ya Chadema kuna kusigana kwa muda mrefu na hii ndio sababu hata kwenye operation za Chadema, Lissu anatumia gari yake binafsi.
Pia walau ni wazi Kwa muda kuwa wakati Lissu akifanya peoples movement, wenzake wapo katikati ya movement na kushangilia mfumo wanaodai kuwatesa.
Nikiona vijana wanaharakati ambao kila siku wanasema free @DEUSDEDITHSOKA et al, wapo na @TunduALissu na waliosema @DEUSDEDITHSOKA anajitekenya wapo na mwamba (nusu-jiwe). This says much
Wale akina mama 19 waliosemekana walipelekwa bungeni na Ndugai wapo na Mbowe…….
Balile anapata wapi nafasi ya ku moderate? Balile si ni CCM kabisa na kama ana la ziada ni wakala?
Ni ngumu sana kuamini kuwa utawala wa vyama vya upinzani haipo mikononi mwa mawakala wa mfumo tawala kuigiza kuna vyama vingi.
Namna CHADEMA establishment wanavyopambana na Lissu, CHADEMA sio siku nyingi ipo kwenye mserereko.
Lissu tu kutangaza kugombea uwenyekiti, imekuwa nongwa.
Kuna maneno kuwa mwenyekiti katikati ya kampeni 2020 alisema “Lissu anadhani atamshinda Magufuli “?……..
Anyway, kuna watu wanamtengenezea @SuluhuSamia ushindi bila kupora kura kama kawaida ya CCM.
Umeongea ninayoongea kila siku. Kuna wimbi kubwa sn la vijana jobless ambao baadhi yao wanaamini Lissu akiwa mwenyekiti basi 2025 CHADEMA itashika dola na mfumo wa ajira utabadilika na wao watapata ajira. In short wao wapo kimabadiliko zaidi lakini hawajui mikakati, mbinu, na njia sahihi ya kuwafikisha huko. Leo Lisu hata akiwa mwenyekiti na akawaambia waandamane hautaona huyo kijana hata mmoja. Wanadhani kuondoa chama cha uhuru madarakani ni mchezo, bila sacrifice hamtoboi. Haya mambo East Africa tuwaachie Kenya tu, kule ndo kuna binadamu wa kweli, Tz kuna watu tu.Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.
Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!
Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).
Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!
Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.
Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.
Amandla...
Kwa Mimi kwenye cha cha cDM kuna baadhi ya viongozi hawataki Lisu agombe urahisi dhidi ya matarajio ya SSHAnaandika Wakili Joseph oleshangay