Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Unaota weweAnyway, kuna watu wanamtengenezea @SuluhuSamia ushindi bila kupora kura kama kawaida ya CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaota weweAnyway, kuna watu wanamtengenezea @SuluhuSamia ushindi bila kupora kura kama kawaida ya CCM.
Unamjua Mbowe?Umeandika maneno meengi pasipo sababu, kwa kifupi tu ungesema Mbowe ana tamaa sana ya madaraka...yeye na Lipumba ni mapacha!!.
🤣 🤣 🤣Mapambano ya miaka 20 na Upinzani wa milele?!
Tujuavyo Jemadari huwa anapambana akiona Ngome ni ngumu anabadilisha Tactics mpaka anaivunja Ngome ya adui.
Kama Mbowe angekuwa ndiye Jenerali wetu wakati wa Vita vya Kagera mpaka leo Vita hiyo ingekuwa inaendelea na angeenda kufanya maridhiano na Iddi Amini na kulambishwa lambishwa Asali na huenda angempelekea Amini tuzo pale Kampala.
Wakati huo huo Iddi Amini angeendelea kuteka kupoteza na kuuwa Watanzania.
Mkuu usiwe na upande ukiwa kwenye mchezo huu, tulia! Mdogo mdogo tutafika. Chadema inajiua taratibu. Miaka 10 ijaayo ya uenyekiti wa Mbowe, atakuwa anatembea na Chadema kwenye briefcase kama Lipumba, mark my words!!!Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.
Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!
Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).
Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!
Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.
Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.
Amandla...
Mkuu aliyesema wanachama wa Chadema ni Nyumbu hakukosea! Apewe maua yake!!!Na wakati hayo yote Mbowe akifirigiswa Lissu alikimbilia uhamishoni na kuhamia Twitter!! Lissu alirudi kugombea kisha akatokomea ubelgiji leo hii anataka kuchukua control ya chama ili akiache kwenye mataa?
Mbowe kakomaa hapa hapa nyumbani pamoja na mateso yote leo hii mropokaji aloyebimbiana tumbo analeta za kuleta?
Nilimheshimu sana Lissu ila kwa tone aliyoonesha juzi ya shari nimemdharau sana. Yaani msigwa kupitwa kura moja na Sugu Lissu ananunua shari yake??
Kinachonishangaza kupita vyote ni wafuasi wake kumlaumu Mbowe kabla ya boksi la kura!! Hawa watu wana akili na wako serious kiasi gani?
Hihiiii jamaniBila hata CDm huyo msimbe asirud ikulu jamani.
Umemaliza kila kitu ndugu.Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.
Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!
Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).
Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!
Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.
Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.
Amandla...
Mkuu aliyesema wanachama wa Chadema ni Nyumbu hakukosea! Apewe maua yake!!!Hakuanza leo.
1. Kama nakumbuka sawa sawa Lissu aliwahi kusema kuwa Mbowe hakumshikia drip baada ya kupigwa risasi bali ni Msigwa. Inawezekana ni kweli lakini aliisema kama vile Mbowe alikuwa anajipendekeza. Nikadhani ni kuteleza tu na ni hulka ya msema kweli.
2. Akaanza kuzungumzia mapungufu ya chama chake jukwaani. Alipoulizwa, akasema akasemee wapi? Insinuation ni kuwa Boss wake anayakumbatia.
3. Zikaanza tuhuma za yeye na Msigwa kutaka kufanya mapinduzi, akakaa kimya. Msibwa akawa anamtukana Mbowe, yeye kimya. Msigwa kahamia CCM, yeye kimya. Msigwa akawa anashambulia CDM na Mwenyekiti wake, yeye kimya.
4. Chadema wakatangaza kikao cha Kamati Kuu. Yeye wala hakujisumbua kuhudhuria badala yake publically akahudhuria mazishi ya mpiganaji mmoja wa CDM. Hii ni dhahiri ilikuwa kuonyesha kuwa Mbowe hajali wanachama wake.
5. Akaibua hili la kuhongwa na Abdul. Hadithi ambayo haina kichwa wala miguu.
6. Akazungumzia watu kung'ang'ania madaraka. Wote tulijua anamsema Mbowe
Kinachonisikitisha ni kuwa haikupaswa kuwa hivi. Angeweza kugombea bila kumpaka matope Boss wake. Nadhani washauri wake walimwambia kuwa ukitaka kuhakikisha kuwa nyoka amekufa inabidi umkate kichwa. Hivyo shutuma, maneno ya ovyo n.k. vingemtisha Mbowe kutangaza nia. Big miscalculation. Badala yake anaonekana kama opportunist asiyekuwa na chembe cha loyalty.
Na sasa, kama atashindwa, nafasi ya kugombea urais itakuwa hati hati. Labda ahamie ACT-WAZALENDO. Akifanya hivyo atawasaidia kupata wabunge wengi pengine hata zaidi ya CDM. Lakini yeye heshima yake itakuwa zero.
Amandla...
Ukiwafwatilia sana wabongo uku mitandaoni unaweza ukafikiri ni bonge la wapambanaji kumbe ni ushabiki maandazi tu unaoongozwa na hisia na mihemko.Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.
Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!
Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).
Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!
Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.
Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.
Amandla...
Kongole Fundi Mchundo umemaliza kila kitu, hawa ni wanaharakati wa mitandaoni wanaomponza Lissu. Wanajifanya kum sympathy Soka siku maandamano yakiitwa wanabaki ku zoom kwenye laptop kuangalia nani kaenda.Huu uongo ndio unaowaponza. Mbowe hakumsifia Samia bali alisema kuna mambo waliyapata kutokana na maridhiano.
Hivi mnataka kutuaminisha kuwa mlikuwa tayari kuingia barabarani kushikiza mikutano ya hadhara, kufutiwa kesi mamia ya wana Chadema? Nyinyi ambao mkiona askari ameshika fagio mnakimbilia kujifichq chooni!
Huyo mnaemsimanga amefungwa, ametungiwa kesi za ajabu, biashara zake zimefungwa n.k. lakini hakutetereka. Alipoita maandamano ya kupinga utekaji wa wakina Sato, mauaji ya Kibao na wengine mlitoa kisingizio kuwa anawachuuza watoto wa wengine wakati wa kwake wanakula bata ughaibuni. Alijitokeza yeye na binti yake, wote mkajificha. Angalau wakina Hilda walifika sehemu ya maandamano na wakina mama wengine. Aidha, wako waliozuiwa wakitoka bara ( wengi wao wakiwa wanawake).
Wanawake wa Bawacha waliandamana kwenda ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe na wengine walitiwa ndani. Nyinyi mashujaa, wanasheria mkaufyata!
Hata Lissu akishinda hamtathubutu kujitokeza kumuunga mkono katika hiyo mass mobilization. Tofauti yake na Mbowe ni kuwa mkimzenguq atawaachia nchi yenu wakati Mbowe alibaki humu humu nchini.
Badala ya kuchochea mambo ya kijinga mngewahimiza washindani washindane kwa lugha za kiungwana bila character assassination yeyote. Wakifanya hivyo itakuwa rahisi kwa wafuasi wao kuungana pamoja na atakae shinda.
Kwa kweli hamukitakii mema Chadema.
Amandla...
Sio awe makini tu mshaurini aondoke kabisa.Mkuu aliyesema wanachama wa Chadema ni Nyumbu hakukosea! Apewe maua yake!!!
Hakika hawa jamaa ni Nyumbu waliokomaa!!!
Hata Lissu awe makini na Nyumbu waliomzunguka!!!
Haya nayo ni mawazo yako.Inawezekana ukafa wewe ukakiacha.Mkuu usiwe na upande ukiwa kwenye mchezo huu, tulia! Mdogo mdogo tutafika. Chadema inajiua taratibu. Miaka 10 ijaayo ya uenyekiti wa Mbowe, atakuwa anatembea na Chadema kwenye briefcase kama Lipumba, mark my words!!!
Mbona uwezekano mkubwa mgonjwa ni wewe!! Mleta mada ameweka analysis nzuri...unaumwa wewe si bure!
Lissu hana mvuto nje ya Chadema, hata akigombea act hana ubavu wa kumzidi kura mgombea wa cdm.Hakuanza leo.
1. Kama nakumbuka sawa sawa Lissu aliwahi kusema kuwa Mbowe hakumshikia drip baada ya kupigwa risasi bali ni Msigwa. Inawezekana ni kweli lakini aliisema kama vile Mbowe alikuwa anajipendekeza. Nikadhani ni kuteleza tu na ni hulka ya msema kweli.
2. Akaanza kuzungumzia mapungufu ya chama chake jukwaani. Alipoulizwa, akasema akasemee wapi? Insinuation ni kuwa Boss wake anayakumbatia.
3. Zikaanza tuhuma za yeye na Msigwa kutaka kufanya mapinduzi, akakaa kimya. Msibwa akawa anamtukana Mbowe, yeye kimya. Msigwa kahamia CCM, yeye kimya. Msigwa akawa anashambulia CDM na Mwenyekiti wake, yeye kimya.
4. Chadema wakatangaza kikao cha Kamati Kuu. Yeye wala hakujisumbua kuhudhuria badala yake publically akahudhuria mazishi ya mpiganaji mmoja wa CDM. Hii ni dhahiri ilikuwa kuonyesha kuwa Mbowe hajali wanachama wake.
5. Akaibua hili la kuhongwa na Abdul. Hadithi ambayo haina kichwa wala miguu.
6. Akazungumzia watu kung'ang'ania madaraka. Wote tulijua anamsema Mbowe
Kinachonisikitisha ni kuwa haikupaswa kuwa hivi. Angeweza kugombea bila kumpaka matope Boss wake. Nadhani washauri wake walimwambia kuwa ukitaka kuhakikisha kuwa nyoka amekufa inabidi umkate kichwa. Hivyo shutuma, maneno ya ovyo n.k. vingemtisha Mbowe kutangaza nia. Big miscalculation. Badala yake anaonekana kama opportunist asiyekuwa na chembe cha loyalty.
Na sasa, kama atashindwa, nafasi ya kugombea urais itakuwa hati hati. Labda ahamie ACT-WAZALENDO. Akifanya hivyo atawasaidia kupata wabunge wengi pengine hata zaidi ya CDM. Lakini yeye heshima yake itakuwa zero.
Amandla...
aKongole Fundi Mchundo umemaliza kila kitu, hawa ni wanaharakati wa mitandaoni wanaomponza Lissu. Wanajifanya kum sympathy Soka siku maandamano yakiitwa wanabaki ku zoom kwenye laptop kuangalia nani kaenda.
Mbowe yupo sahihi kabisa dunia nzima inaimba maridhiano wewe unataka kutunishiana tumbo na dola. kama wanataka chama cha uanaharakati waanzishe chao.