Pre GE2025 Joseph Oleshangay: Kuna watu wanataka Kuvunja Chama ili kumtengenezea Samia Njia Nyeupe Ya Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna mwanasiasa mwenye uwezo wa kuokoa watanzania kutoka kwenye mtego.
Ipo siku tu atazuka kijana kama yule wa Syria na watanzania wenyewe watajiokoa.

Au siku moja itafika watanzania watajikuta kwenye vichwa vyao wanakubaliana jambo moja na kufanya mapinduzi.

Hivi vyama vyote ni utapeli aka Scam, operated and controlled by invincibles call them the elites from the dark aka the Ghost.
 
🤣 🤣 🤣
 
Either uwe mwanasesere upambane na ndugu zako wanaoteseka na umasikini kwa kigezo cha mtetezi aka mpinzani au uwe mwanasesere kwa kigezo cha utumishi na chawa wa wanasesere wenzio.

Ndani ya kundi la wanasesere Kuna sub elites walioaminiwa na elites wenyewe ili kurahisisha manipulation ndani ya kundi la wanasesere hapo ndio FAM anaingia sasa.
Sub-elites wanakuwa vetted na pia ni magenius but they will never be elites japo wana contacts za some elites.

Tanzania Iko matekani kuvunja huo mnyororo kuna hitaji la raia wenyewe na kuingia madaraka huku CCM ikifa kabisa na vijana kutoka kazuramimba, kisarawe, nanyamba, kiteto, Kyela nk wachukue usukani wa nchi yao na kujipangia mambo yao.
 
Mkuu usiwe na upande ukiwa kwenye mchezo huu, tulia! Mdogo mdogo tutafika. Chadema inajiua taratibu. Miaka 10 ijaayo ya uenyekiti wa Mbowe, atakuwa anatembea na Chadema kwenye briefcase kama Lipumba, mark my words!!!
 
Mkuu aliyesema wanachama wa Chadema ni Nyumbu hakukosea! Apewe maua yake!!!

Hakika hawa jamaa ni Nyumbu waliokomaa!!!

Hata Lissu awe makini na Nyumbu waliomzunguka!!!
 
Umemaliza kila kitu ndugu.
 
Mkuu aliyesema wanachama wa Chadema ni Nyumbu hakukosea! Apewe maua yake!!!

Hakika hawa jamaa ni Nyumbu waliokomaa!!!

Hata Lissu awe makini na Nyumbu waliomzunguka!!!
 
Ukiwafwatilia sana wabongo uku mitandaoni unaweza ukafikiri ni bonge la wapambanaji kumbe ni ushabiki maandazi tu unaoongozwa na hisia na mihemko.
 
Kongole Fundi Mchundo umemaliza kila kitu, hawa ni wanaharakati wa mitandaoni wanaomponza Lissu. Wanajifanya kum sympathy Soka siku maandamano yakiitwa wanabaki ku zoom kwenye laptop kuangalia nani kaenda.

Mbowe yupo sahihi kabisa dunia nzima inaimba maridhiano wewe unataka kutunishiana tumbo na dola. kama wanataka chama cha uanaharakati waanzishe chao.
 
Mkuu aliyesema wanachama wa Chadema ni Nyumbu hakukosea! Apewe maua yake!!!

Hakika hawa jamaa ni Nyumbu waliokomaa!!!

Hata Lissu awe makini na Nyumbu waliomzunguka!!!
Sio awe makini tu mshaurini aondoke kabisa.
 
Mkuu usiwe na upande ukiwa kwenye mchezo huu, tulia! Mdogo mdogo tutafika. Chadema inajiua taratibu. Miaka 10 ijaayo ya uenyekiti wa Mbowe, atakuwa anatembea na Chadema kwenye briefcase kama Lipumba, mark my words!!!
Haya nayo ni mawazo yako.Inawezekana ukafa wewe ukakiacha.
 
Lissu hana mvuto nje ya Chadema, hata akigombea act hana ubavu wa kumzidi kura mgombea wa cdm.
 
Kuna wajjinga wanafikiri siasa za upinzani niikugombana na watawala.wakati huo huo wao wamejificha mitandaoni.Ata lissu akiwa mwenyekiti wa cdm hawezi kua machachari kama alivyokua mwanasiasa huru.kwasababu uongozi na uhanaharakati haviendani kwa siasa zetu zilivyo sana sana ataishia kukimbizana na vyombo vya dola uku wananchi waliokua wakimsapoti wakijificha mitandaoni.Bado kunahitajika siasa za hoja na kistaarabu ili kujenga uelewa wa wananchi walio wengi kutambua haki zao nakuzisimamia.Hiyo elimu haiwezi kupatikana kukiwa na mivutano yakisiasa nakidola.
a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…