Pre GE2025 Joseph Oleshangay: Kuna watu wanataka Kuvunja Chama ili kumtengenezea Samia Njia Nyeupe Ya Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na sasa, kama atashindwa, nafasi ya kugombea urais itakuwa hati hati. Labda ahamie ACT-WAZALENDO. Akifanya hivyo atawasaidia kupata wabunge wengi pengine hata zaidi ya CDM. Lakini yeye heshima yake itakuwa zero.

Amandla...
Hiyo heshima kapewa na chadema kwamba watamnyang'anya?
 
Asante.
Amandla...
 
Iko vile bandugu !
 
Tunatofautiana sehemu moja kuwa sisi hatutaki Mbowe agombee safari hii maana ameshaonyesha kunyoosha mikono kwa Samia. Sisi tulitaka akae pembeni aruhusu damu nyingine kugombea ili tuwe kama tunaanza kuzalisha team upya kupata uungwaji mkono.

Mbowe tayari ana tuhuma za kulambishwa asali ambazo tulizifahamu kabla hata ya huu mchakato. Mimi sikutarajia kama awamu hii Mbowe angegombea. Mimi karata yangu niliitupa kwa Heche. Mbowe kugombea Heche hawezi kugombea maana angezidisha fukuto.Jiulize kwanini hajaamua lolote mpaka sasa? Jiulize kwanini haungi mkono Mbowe kugombea awamu hii? Maana anaona kuwa hakutakuwa na mwamko mpya ambapo pia na sisi wengi tunaona hilo.

Kwanini Lissu aliamua kugombea uenyekiti tena kwa shari? Ni baada ya kuelezwa kuwa Mbowe na wafuasi wake ambao tayari wana vina saba na mfumo wanataka kumuondoa kimya kimya ndipo akaamua basi bora maji yatibuke ili mbivu mbichi zijulikane kuliko kuendelea kuishi kwa uongo na ujanja ujanja na ndilo lililoonekana. Yani Chadema kwa sasa ni kama nyeti za kuku zilizopigwa na upepo. Tumeona kila kitu na kweli tunashukuru kwa hilo la kuujua ukweli. Tutaishi kwa uhalisia sasa.
 
Kampigieni Lissu kura!! Kusema hatukutaka agombee ni immaturity ya hali ya juu sana. Katika siasa na demokrasia kama katiba inaruhusu acheni watu watumie haki zao.... kama mmemchoka Mbowe mnamchagua Lissu bas!!
 
Kampigieni Lissu kura!! Kusema hatukutaka agombee ni immaturity ya hali ya juu sana. Katika siasa na demokrasia kama katiba inaruhusu acheni watu watumie haki zao.... kama mmemchoka Mbowe mnamchagua Lissu bas!!
Nikuulize swali: Kwani kati ya Lissu na Mbowe nani au kambi ipi inayoonekana ni Chadema? Mbowe anaungwa mkono na CCM, unadhani wanafanya hivyo kwa bahati mbaya? Sisi tutasimama na Lissu kwa sasa mpaka ajitokeze tena mwingine naye tumpime. Ila kabla ya Mbowe kutangaza rasmi tulimsihi asiweke nia na alipoweka nia ndiyo kajiharibia zaidi kwa hoja alizotoa na aina ya watu waliomuunga mkono. Mbowe siyo mtu halali tena ndani ya Chadema kama kiongozi. Amejenga timu ambayo ina vina saba na CCM katu hawataaminika. Mbaya zaidi suala la hela chafu kwake na kwa watu wake sasa lipo dhahiri.
 
Acha uongo, wakati kifo cha magufuli kinatokea Mbowe alikuwa wapi? Alikimbia nchi kupitia kenya
 
Kichwa ya Mbowe sawa na kichwa ya Mseveni na Kagame.Wote ni wajinga na waroho wa madaraka. Mbowe alaaniwe na afe mapema tupate mabadiliko ya kweli
 
It's obvious Samia hana mshindani labda 2030 ataibuka mpinzani wa kweli
 
Nafikiri ni fursa yenu sasa baada ya kuamua kusimama na Lissu, mumuwezeshe aupate uenyekiti uwe mwanzo mpya wa mrengo wenu.
 
Mimi huu uchaguzi nauona kama ni uchaguzi wa Ccm na Chadema na kama tunavyojua wote rafu za Ccm. Serikali yote huweka tofauti zote pembeni na kumshughulikia mpinzani kwa halali na kwa haramu.

Ccm ni ngumu kuishinda maana wasimamizi wataingia na kura zilizopogwa tayari.
 
Nafikiri ni fursa yenu sasa baada ya kuamua kusimama na Lissu, mumuwezeshe aupate uenyekiti uwe mwanzo mpya wa mrengo wenu.
Utake usitake Chadema haitavuka tena kama ilivyo sasa. Ni ama ivuke hadema sanaa au ivuke Chadema uzalendo. Hii ya sasa imechanganya sanaa na uzalendo. Tumegawanywa na lazima mojawapo ivuke. Kupanga ni kuchagua. Mimi nipo upande wa Chadema uzalendo katu sitokaa niungane na chadema sanaa!
 
Chama cha matapeli kilee
Mchaga hawezi achia pesa kijinga vilee

Mwenyekiti n sign...msifikirii mjinga kukomaaaaa na ....
 
Kifupi
Hakuna chama cha kupambana na sisiemu

Wanachofanya n kupanbanbania ruzuku simple
 
Msimpangie mtu cha kufanya kwenye SACCOS/NGO yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…