Pre GE2025 Joseph Oleshangay: Kuna watu wanataka Kuvunja Chama ili kumtengenezea Samia Njia Nyeupe Ya Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba Mbowe amefanya maandamano kuliko Lissu? We uliona clip za Lissu kule dodoma wakati anarudisha fomu NEC na kampeni zake kule Tarime alipopambana kuandamana mbele ya mitutu ya polisi. Mbowe hawezi confrontational politics!! Ni too soft and too diplomatic to threaten CCM.

Nyie shabikieni ujinga tu mwakani tuone CCM wakijikombea tena majimbo yote na Mbowe anaitwa mezani kuwatuliza
 
Kumbe mnachotaka ni confrontational politics? Na wangapi waliungana nae? Na aliibiwaje kura?

Shida yenu mna tafuta mwokozi atakaye wapigania wakati mmejifungia ndani.

Waambieni wajumbe wenu wakampigie kura kama kweli mnampenda. Na mkasimamie kura ili zisiibiwe. Au mlitaka apite kilaini bila mshindani?

Amandla...
 
Kwa hiyo Lissu hana tamaa ya madaraka ???
Niwakumbushe nyote mnaosoma ujumbe huu bila ya mwamba saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
Na kama huelewi maana ya shimo la tewa nenga ka google
 
Anzisha chama chako ili kiwe mfano halisi wa upinzani unavyotakiwa kuwa.

Kwa uelewa wangu nje ya key board huna ubavu wa kufanya chochote kisiasa.

Mwanasheria hujui kuwa nongwa imesababishwa na nyinyi wahuni wa mtandaoni ambao hamtaki demokrasia ifanyike ndani ya CDM.
 
Umeongea ninayoongea kila siku. Kuna wimbi kubwa sn la vijana jobless ambao baadhi yao wanaamini Lissu akiwa mwenyekiti basi 2025 CHADEMA itashika dola na mfumo wa ajira utabadilika na wao watapata ajira. In short wao wapo kimabadiliko zaidi lakini hawajui mikakati, mbinu, na njia sahihi ya kuwafikisha huko. Leo Lisu hata akiwa mwenyekiti na akawaambia waandamane hautaona huyo kijana hata mmoja. Wanadhani kuondoa chama cha uhuru madarakani ni mchezo, bila sacrifice hamtoboi. Haya mambo East Africa tuwaachie Kenya tu, kule ndo kuna binadamu wa kweli, Tz kuna watu tu.
 
Kwa Mimi kwenye cha cha cDM kuna baadhi ya viongozi hawataki Lisu agombe urahisi dhidi ya matarajio ya SSH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…