econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hiihii CHADEMA inayotumiwa na Samia atakavyo, au kuna nyingine?
Ndio hiyo CHADEMA ambayo Samiah alidai Mwenyekiti wake ni gaidi lakini leo kamwita ikulu. Kutoka ugaidi mpaka mazungumzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiihii CHADEMA inayotumiwa na Samia atakavyo, au kuna nyingine?
Mbona viingozi wa upinzani na wachagga tu nchi hii kasoro zitto na rungwe
Mbatia ni mchumia tumbo tu. Hana uafisa wowote. Uchaguzi wa mwaka 2020 walipoitwa na Magufuli, waliahidiwa vyeo na fedha za kusaidia kampeni zao na wao wapewe baadhi ya nafasi za ubunge na kuwa chama cha upinzani kitiifu kwa mwendazake. Hali ilikuja kubadilika baada ya Chadema kumsimamisha Lissu na kuvutia umati mkubwa wa watu. Magufuli alipoona hali ni mbaya kwake akaamua kutumia dola kupora uchaguzi na akawatupilia mbali hawa wachumia tumbo kwani aliona hawana uwezo wa kupambana na Chadema.
Nchi hii wachaga wNaogopwa na masikini sana.Ukisema bila kuchomeka wachaga utapungukiwa nini wewe perverted hater?
Ndio maana sijawahi kumuamini Zitto hata chembeTukisema kwamba upinzani ni Chadema peke yake nchi hii muwe munaelewa,Watu wanakokotwa kwenda kuisaidia CCM halafu mnategemea wawasemee
Yap, kula tano mkuu, hapa umesema ukweli wa wazi, na tulisema kabisa kuwa Magufuli alivunja makubaliano yake na kina Mbatia na Lipumba, baada ya kuona kura za CDM zingemuumiza hata yeye. Akaona isiwe tabu bora apore uchaguzi kabisa, maana hata kuiba bado ingekuwa ngumu kwani akina Mbatia hawakuwa na mvuto wowote. Akaagiza usalama wa taifa waende na karatasi za matokeo fake na hayo ndiyo yatangazwe.
Ilifika mpaka mahali Mbatia anapangiwa sehemu za kwenda kufanya kampeni, na ujumbe gani awe anatoa. Baada ya Mbatia kuacha hewani ndio imebidi awaunge mkono cdm kwani huko ccm hana support yoyote.
Wazaramo hamkeni, wachaga wanajua kula na maccmHapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Masadukayo ndio walivyo.Ukisema bila kuchomeka wachaga utapungukiwa nini wewe perverted hater?
Kumshinda kihalali sio tatizo, tulitaka tuone atamshinda kwa kura kiasi gani. Kwa taarifa yako Magufuli hukufikisha kura 5m, wala wapiga kura hawakufika 10m. Kilichomfanya anajisi uchaguzi ni kwasababu aliogopa ukweli kukaa hadharani.Pamoja na kuandika yote haya lakini ukweli ni kwamba ilikuwa ni ndoto Lissu kumshinda Magufuli kabisa hili jambo ni lazima sote tukubaliane japo ni gumu sana
Unatumia tundu gani kuongelea mkuu? Sio kwa viroja hivyo aisee.Pamoja na kuandika yote haya lakini ukweli ni kwamba ilikuwa ni ndoto Lissu kumshinda Magufuli kabisa hili jambo ni lazima sote tukubaliane japo ni gumu sana
Hata mbowe alisaidia sana CCM 2015 kwa kumleta Lowassa fisadi na kutupa wapambanaji.Wapinzani wote njaa tupu ukiona mtu anapiga kelele jua hajapata furusa.Tukisema kwamba upinzani ni Chadema peke yake nchi hii muwe munaelewa,Watu wanakokotwa kwenda kuisaidia CCM halafu mnategemea wawasemee
Lissu alivutia umati upi wa watu!!? Unajitekenya na kucheka.
na bado watatajana sana...walidhani jamaa ni mungu ataishi milele
Joseph selasini nadhani aliyoeleza yanakaribiana na ukweli kwani katika utawala wa mwendazake James mbatia alikuwa akifanya ziara mikoani kuimarisha chama chake huku akipokelewa na wakuu wa mikoa,. Mfano mzuri alipofanya ziara mkoa wa mbeya alipokelewa na mkuu wa mkoa wa wakati huo CHALAMILA
Bongo hakuna upinzani