Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

Hii ndio Demokrasia na free speech tulikuwa tumebanwa na lile jinamizi.
 
Angalizo: Mkutano kama utafanyika basi atakachozungumza kimeshajulikana ila kama hakijulikani, mkutano hautakuwepo. Period
 
Hii nchi kila mtu anazungumza tu! Tunaendeshwa kwa maneno maneno huku watu wanaweka Mambo yao dhahiri na kutuumiza tu!.
Waliozungumza mpaka sasa hata hawafiki asilimia 1 ya nchi yote, tungekuwa na demokrasia ya kweli wangezumza wengi zaidi
 
Alichosema kwenye kanisa lake kuhusu spika kabla hotuba ya raisi ndio anakuja kukiweka wazi kesho.
Atataka spika hajiuzulu au watamwondoa!
 
We are witnessing the worst regime since the birth of Tanzania, and probably the worst 4 years we will ever have.
Worst and best are relative terms!

Not judgemental.

It all goes with score table...

It depends on which side of the coin you are....
 
Hapana sio faida..
Tofautish business and busyness.
Kwahiyo faida huwa ipo kwenye business vs busyness tuu? Faida haipo kwenye kula chakula bora yaani balance diet? Au kufanya physical exercises?

Ukiwa unanisogelea jipange sana.
 
Kuna mtu aliwahi kuandika hapa JF kwamba kila anayetofautiana ama kugombana na hawa watu 2;- Gwajima na Mbowe, NI LAZIMA atapata taabu tu!
Kuna Asilimia Kubwa za ukweli wengi waliobattle na huyu Jamaa walipotea na yeye kuendelea kudunda.. Sema huwa ananifurahisha huwa hatoi siraha zote. Utamsikia Nasubiri wajibu.. nimalize makombora yapo hayajatumika
 
Back
Top Bottom