covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Walienda vijana wenhi tu kutoka sua university kwa ajili ya kujifunza kilimo kwa vitendo huko..na wakifika huko wanatawanya sehemu tofauti tofauti bahati mbaya kwa hao waliokufa sehemu waliyoenda ndio paritibuka.Ishu imezimwa kama vijana walijiunga na jeshi lazima waliwe kichwa ...Unavaa boxer ya jeshi ...Mdogo wangu ameenda huko mbona kasema wote wako salama ...
Wengine wapo hadi leo bado wameshapata na vibarua huko wanapiga kazi hadi leo.