Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

View attachment 3128414
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.

Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
View attachment 3128415

Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na hatia.

REST EASY.
Magaidi wamekufa vibaya na wataendelea kupigwa kipigo cha mbwa koko mpk waishe wote

Mwanzo si walichekelea?sasa wanaishi mashimoni kama panya,na wanafumuliwa huko huko

FaizaFoxy Ritz
 
View attachment 3128414
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.

Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
View attachment 3128415

Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wanuka damu za watu wasio na hatia.

REST EASY.
Wacha
Wafetu waende kuzim,, wakifika huko ..wauwawe tena waruudi duniani wauliwe tena
 
Machungu ya walioliwa hao watanzania usifananishe na ujinga wa imani yako , tambua tatizo kwanza ...Hao ni watoto bado walikuw wanasoma na hao ni wazee wa miaka 63 wote .

Unaonekana una akili ndogo sna, wazazi wa joshua na clemence hata iweje hakuna kitaziba pengo la mtoto wao .walishaenda huko kimya kimya na majibu walitoa ....Punguza ushabiki maandazi .

Hukujua tatizo mpaka leo , tafuta madogo wa SUA walioenda trip ile ndio upate majibu ...Ukifanya ugaidi utauliwa huwezi kwenda kupambania nchi ya watu .
Unavyosema as if una uhakika ni kweli walikua magaidi, Israel safi sana at least umewafanyia hao vijana justice,
 
Inakera sana mkuu

Tunaishi na magaidi tanzania hii bila kujua.

Wazee wa mabikra 72.[emoji1787]
Mkuu kama mtanzania huyu anashangilia na kuona ufahari mtanzania mwingine kuuawawa na magaidi basi yawezekana usalama wa taifa wapo humu natoa rai wamfatilie hio ID, yawezekana tukawa tunafuga magaidi hapa hapa kwetu.
 
Safi sana IZIRAELI
Manake kuna mijitu Tz inaudini mwingi kuliko uzalendo
Watz wanakufa yenyewe hata haisikitiki sasa itasikitika kwa lazima
 
View attachment 3128414
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.

Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
View attachment 3128415

Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na hatia.

REST EASY.
 
Duh aise kweli nimeamin kuna wagonjwa wengi wenye matatizo ya akili tanzania. Mtanzania huyu anafurahia na kushangilia mtanzania mwenzake kuuawawa kikatili na magaidi. Aise. Mungu saidia. Duh. Sijawahi kuona.
Kama mtu huwezi kumpenda Jirani yako unayemuona huwezi kuniaminisha unampenda Mungu usiyemuona.

Huyo jamaa usikute anaswali swala tano kabisa.
 
Hiv haa jamaa walikuwa mashoga ?au ndo mila na desturi zao kubusiana
Hawa wanakulana hawa.

Hata wakienda huko wanapoenda mabikra 72 wakija watawaaacha ili waendelee kulana😂
 
we

Wenzio wanapiagnia kwao yeye CCM imemshinda anaenda kupambana huko ,mchifu mpaka leo wana alama kufia kweny ardhi yao ...Yye katia hasara kwao huko migombani 😀 😀 😀
Sema wewe ni mpumbavu, kwa hiyo ile baskeli ya Joshua ndiyo iliyokuwa bunduki au roketi? Ficha upumbavu wako
 
Back
Top Bottom