Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Siyo tuhuma ndyo ukweli mm ndyo maana sitaweza kuja kuowa mchaga mwenzangu au kudate naye Tu hapana

Kwanini wewe mwoga sana😆😆😆😆
 
Haya mahusiano laiti mngeyajua. Acha niishie hapo ila mara ya mwisho niliona hao watoto wakimpiga huyo jamaa kwa mawe huku wakimzodoa kuwa analelewa na mama yao. Nilishuhudia hicho kisanga mwezi octoba 2021 jamaa likawa linajiliza liza kwa Joyce kama lichoko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni muongo sana,
 
Hajawahi shauri mtu avunje ndoa yenye afya ila huwa anasema ukiona ndoa inataka kukuingiza kuzimu wachana nayo. Kitu ambacho ni kweli na sio kwa wanawake tuu hata kwa wanaume
Hakuna ndoa yenye asali tu. Changamoto pia zipo na dawa yake sio kuachana tu. Vinginevgo unajiongezea sifa ya kuwa "used"!
 
Hakuna ndoa yenye asali tu. Changamoto pia zipo na dawa yake sio kuachana tu. Vinginevgo unajiongezea sifa ya kuwa "used"!

Sio ndoa pekee zinakosa asali hata maisha ya kawaida ya familia, ndugu, mzazi na mtoto yana changamoto zake tofauti ni moja tuu kwamba kwenye ndoa hamna undugu wa damu.
Huwezi kumkata mke wako maskio aunmikono, au kumchoma mtoto wako moto au kumbaka mama yako mzazi halafu ushauri uwe aendelee kukuvumilia mwisho utaishia kwenye gunia mbili za mkaa au kumshusha kwenye chemba la choo taifa lipoteze rasilimali yake

Changamoto za ndoa zinazoweza kupelekea kuvunja ndoa ni sawa na zile za mahusiano mengine ya kifamilia zinazopelekeaga ndugu kuwa mbalimbali au kutengana kama vile ukatili uliopitiliza na tishio la kifo.

Na tunapoongelea kuvunjika kwa ndoa mara nyingi tunamuangalia mwanamke tuu na kumuona yeye pekee kuwa muathirika "used" kama ulivyosema. Tunasahau kuwaona wanaume hawaumii sababu kwa kiasi kikubwa wao hawaongei ila wapo wanaoumizwa na kuumia na kuwa used sawasawa na wanawake.

Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu, aturudishe kwenye kumjua yeye zaidi tuanze nae na kumaliza nae
 
Kwanini wewe mwoga sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wala si muoga Mimi sipendi kelel kabisa maishani mwangu alafu napenda nipendwe kingine napenda mwanamke ambaye si muongeaji sana ambaye Hana kiburi sasa dada zangu ni hatri ngumi mkononi viburi jeurii mapenzi hawana sasa kwann nijipe stress nife mapema
 

Hakuna mwanaume anayewezana na mwanamke mwenye kelele duniani. Sijui vile mnajisikiaga mkipigiwa kelele ila vipigo vingi toka kwa wale wasio na uvumilivu vinachochewaga na kelele.

Wewe tafuta mtakayeelewana utafurahi na wala hutopata stress
 
Tatizo kaoa shoga lazima afurahie tu
 
Dalili ya mtu malaya inajulikana tu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…