Mwaya nikuvhukie mtoto mzuri Kama wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Halafu kwani mi nataka unipende sasa!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole mwaya kwa kunibeba kwenye akili na moyo wako
Mi hata skujui[emoji849][emoji849]
Nikisha comment imeisha
Hivi huyu Joyce ni mchaga?Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika
View attachment 2061640
View attachment 2061641
View attachment 2061642
Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba huyaacha mahusiano yavunjike hivihivi. Huwa anapambana lakini sababu hamna anachoweza kubadili hishia kuvunjika moyo, kuugulia hadi anapoibuka tena na kitu kipya
Achilia mbali mateso aliyosema aliyapata hadi kuachana na mumewe wa kwanza yule DJ Nelly, Joyce ameonekana kuwa mwanamama mkweli na muwazi anapokuwa kwenye mahusiano na hata pale yanapovunjika.
Haijalishi nini itakua hatma ya mahusiano yake ila Joyce ni aina ya wale wanawake ambao akipendwa anataka ulimwengu wote ujue kwamba anapendwa na amepata mtu sahihi kwa wakati ule na ana furaha.
Nakumbuka wakati siasa za chadema zimeshika kasi Tanzania aliyekua mume wa Joyce Henry Kileo akawekwa ndani Joyce alivyopambana kumnusuru, tena akiwa na watoto wadogo.
Hata kwenye kampeni za ubunge kule Mwanga Joyce alipambana kwelikweli kumsaidia mumewe
Baadae Joyce alitumbukiwa nyongo baada ya kugundua pamoja na yote yale aliyokua anayafanya Kileo alikua akimsaliti kwa kuwa na wanawake ndani ya chama chao huku akiwa mkali kwa mkewe, kuacha kufanya majukumu ya kutunza familia na kumpa kipigo pale alipokuwa anaulizwa.
Tangu ameachana na Kileo amekua kimya sana ila sasa amekuja na kitu kipya, anaonekana mwenye furaha na shemela ameweza kuyafuta maumivu yote na upweke aliokua anapitia Joyce. Kikubwa zaidi amebeba watoto wa Joyce kama wa kwake
Mimi binafsi nawatakia Joyce na Aaron furaha ya milele kwenye mahusiano yao
Hatimaye watoto wa baba mzazi Kileo wamepata baba mlezi.
Haki wababa nyie mna kila sababu ya kupambana ili muwalee watoto wenu.... Ndoa isingevunjika Kileo angekua anawalea watoto wake
View attachment 2061671
Mungu sadia wadumu maana Likitokea la baya watakaoathirika sio wao tuu, hata watoto wao wataumia
Huyu kibwengo ndio umeamua umfungulie thread kabisa?Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Nimuoe chizi huyo? Si bora hata nikuoe wewe tu πNisipofungua ukasoma utaskia kesho kutwa extrovert amuoa joycekiria
Huyo demu atadumu na huyo boya sababu ni mwanamke mwenzie ila kidume cha mbegu hawatoboi hata miezi 3 lazma kiumaneπ !!!Wengine tuko nao kwenye familia zetu ila hatuyaoni
Anashauri wenzake wavunje ndoa huku yeye akiitafuta
Si wajua ten kuna namna nyingi za kutongoza, kisebusebu na kiroho papoππππππππππππRetired kwani ukoje wewe!?
Mara unanichukia mara mtoto mzuri, au ndio umeretire mawazoπ π π
Ndoa na uwarakati wapi na wapi. Kila siku mahakamani mahabusu. Hafadhali ya kukaa na CCM wezakeJoyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika
View attachment 2061640
View attachment 2061641
View attachment 2061642
Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba huyaacha mahusiano yavunjike hivihivi. Huwa anapambana lakini sababu hamna anachoweza kubadili hishia kuvunjika moyo, kuugulia hadi anapoibuka tena na kitu kipya
Achilia mbali mateso aliyosema aliyapata hadi kuachana na mumewe wa kwanza yule DJ Nelly, Joyce ameonekana kuwa mwanamama mkweli na muwazi anapokuwa kwenye mahusiano na hata pale yanapovunjika.
Haijalishi nini itakua hatma ya mahusiano yake ila Joyce ni aina ya wale wanawake ambao akipendwa anataka ulimwengu wote ujue kwamba anapendwa na amepata mtu sahihi kwa wakati ule na ana furaha.
Nakumbuka wakati siasa za chadema zimeshika kasi Tanzania aliyekua mume wa Joyce Henry Kileo akawekwa ndani Joyce alivyopambana kumnusuru, tena akiwa na watoto wadogo.
Hata kwenye kampeni za ubunge kule Mwanga Joyce alipambana kwelikweli kumsaidia mumewe
Baadae Joyce alitumbukiwa nyongo baada ya kugundua pamoja na yote yale aliyokua anayafanya Kileo alikua akimsaliti kwa kuwa na wanawake ndani ya chama chao huku akiwa mkali kwa mkewe, kuacha kufanya majukumu ya kutunza familia na kumpa kipigo pale alipokuwa anaulizwa.
Tangu ameachana na Kileo amekua kimya sana ila sasa amekuja na kitu kipya, anaonekana mwenye furaha na shemela ameweza kuyafuta maumivu yote na upweke aliokua anapitia Joyce. Kikubwa zaidi amebeba watoto wa Joyce kama wa kwake
Mimi binafsi nawatakia Joyce na Aaron furaha ya milele kwenye mahusiano yao
Hatimaye watoto wa baba mzazi Kileo wamepata baba mlezi.
Haki wababa nyie mna kila sababu ya kupambana ili muwalee watoto wenu.... Ndoa isingevunjika Kileo angekua anawalea watoto wake
View attachment 2061671
Mungu sadia wadumu maana Likitokea la baya watakaoathirika sio wao tuu, hata watoto wao wataumia
Shida inaanza hapo..mmmmMalaya tu huyo... Kwanza anafeki tu[emoji57] vidonda alivyonavyo moyoni sio vya kuponaa leo Wala kesho atakufa navyo.
Vipi Hutaki sasa ama nnπWewe hebu acha ujinga π π π π
AmeZama Kwa bitozi Ron Boy atajuta π€£π€£π€£π€£π€£π€£ amuulize PriscaJoyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika