Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Ni ngumu kusema wanaigiza au hawaigizi

Sisi Tuwatakie heri tuu
Wewe una uhakika gani kama wanafuraha?moyo wa mtu kichaka,tuchukue moja anaingiza maana hatujui yaliyomo moyoni mwake
 
Hainaga uchafu ile😅😅😅

Ndio maana hata hapo kwako unapopaamini wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile

Tuwatakie heri
Khaaaaa!
 
Ewaaa... ulikuwa ujanja tu nijue kama naweza kuwa mkweo. Ngoja niongee na kijana wangu akaze mwendo

Vigezo na masharti kuzingatiwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanadhani ndoa ni picnic.

Kuna psychologist mmoja aliwahi kuusema ndoa ndiyo taasisi pekee ambayo maadui huwa wanalala kitanda kimoja.


Wengi tunachojua ni kwamba ndoa ni sex na watoto

Inatugharimu sana hii
 
Muishi nao kwa akili




Tuhuma nzito

Wanaume wa kichaga na mlioowa wachaga hebu njooni mtuambie vile wake zenu wapo. Kuna tuhuma huku
Siyo tuhuma ndyo ukweli mm ndyo maana sitaweza kuja kuowa mchaga mwenzangu au kudate naye Tu hapana
 
Back
Top Bottom