Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Wewe una uhakika gani kama wanafuraha?moyo wa mtu kichaka,tuchukue moja anaingiza maana hatujui yaliyomo moyoni mwakeNi ngumu kusema wanaigiza au hawaigizi
Sisi Tuwatakie heri tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una uhakika gani kama wanafuraha?moyo wa mtu kichaka,tuchukue moja anaingiza maana hatujui yaliyomo moyoni mwakeNi ngumu kusema wanaigiza au hawaigizi
Sisi Tuwatakie heri tuu
She's full of drama this lady. Nelson alionja joto ya bakery.Hiyo ni furaha ya kuigiza tu, hapo anataka ulimwengu ujue amepata mtu sahihi zaidi ya X wake.
Khaaaaa!Hainaga uchafu ile😅😅😅
Ndio maana hata hapo kwako unapopaamini wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile
Tuwatakie heri
Kimefika kipindi D apate mdogo wake...Zamani sanaa January nitakualika kwenye anniversary
Hapo sawa. Tutegemee mahari lini?Anao wadogo zake 4 tayari😆😆😆
Ewaaa... ulikuwa ujanja tu nijue kama naweza kuwa mkweo. Ngoja niongee na kijana wangu akaze mwendoSiku sio nyingi lol
Dah... Kikubwa malengo mkuu 🤣🤣🤣Vijana hawana kinyaa! Karai limechota "uchafu" Tani ngapi, wewe Leo unaweka chakula ulie humo! Vijana muwe na kinyaa!
Kwani kuachana nayo si ndio kuvunja ndoa kwenyewe?.?..Hajawahi shauri mtu avunje ndoa… anashauri ukiona ndani ya ndoa viashiria vya kuuwawa au ukatili wowote waondoke na anashauri both gender
Ni jambo la heri!Jimbo lina mwenyewe This is.....
Watu wanadhani ndoa ni picnic.Kileo tena anyamaze tuu
Maana zile hekaheka za ndoa yake
AiseeeHainaga uchafu ile[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio maana hata hapo kwako unapopaamini wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile
Tuwatakie heri
Na mimi naomba hati milikiAu mwenzetu ana hatimiliki?? Ya kwake peke yake[emoji85] [emoji85]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wenzio wanataka wenye uzoefu
Ni kweliMuishi nao kwa akili
Tuhuma nzito
Wanaume wa kichaga na mlioowa wachaga hebu njooni mtuambie vile wake zenu wapo. Kuna tuhuma huku
Siyo tuhuma ndyo ukweli mm ndyo maana sitaweza kuja kuowa mchaga mwenzangu au kudate naye Tu hapanaMuishi nao kwa akili
Tuhuma nzito
Wanaume wa kichaga na mlioowa wachaga hebu njooni mtuambie vile wake zenu wapo. Kuna tuhuma huku