Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Akubali matokeo.Kumbukumbu ilinipotea. Kumbe ndiyo yule Kamanda? Ila ni Mrembo. Joyce ana kila sababu ya kuwehuka hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akubali matokeo.Kumbukumbu ilinipotea. Kumbe ndiyo yule Kamanda? Ila ni Mrembo. Joyce ana kila sababu ya kuwehuka hapo.
Mmmmh, mkuu...!Ni kamanda ndio alikuwa aliwa na mwenyekiti kabla ya Kilewo kupewa pasi baada ya kunyimwa unyumba na Kiria
Mwanamke mpumbavu........!Dada mrembo na anajielewa sasa kwanini kamanda asitulie juzi kileo alimtafta Joyce wamalize tofauti saa ngapi asi post mtandaoni na maneno kibao. Joyce ndo mchawi ya ndoa yake too much kuanika mambo ya ndoa hadharani
Hongera mkuuNgoja nikamuongezee followers kiboko ya Joyce
Ha ha ha ha....mkuu umeua...!Ningeshangaa sana nisingekuona hapa. Maana wewe na ubuyu ni sawa na Jiwe na Bashite.
Hata Kileo si mpare, babake ni mchaga mixer myaoKiria ni mchagga bwana, Kilewo ndio mpare.
Mbesa baba zinawatoa mafi.Huyu mwanamke na yule wa Sugu akili zao ni copy za wanawake wa kichagga,alimwacha jamaa kwa matusi makubwa sana sasa hivi anajiliza kama mtoto mchanga
Halafu kwanini wanawake wa kichagga huwa wanazingua sana?
KweliKwa hii mineno kamanda tena naona kawa mgambo,yaani kamanda ni Marioo .Alafu hii style ya kuleta mambo ya familia kwenye mitandao ya jamii, nyie wanawake kawafundisha nani?,ila naona bado kuna umuhimu wa unyago japokuwa baadhi ya watu wanaona kama upuuzi,lkn baadhi ya wanawake hawajielewi.
Faiza ana umalaya gani? Bidada yuko real sema wanafiki wachache hawamuelewiWee, faiza level za amba ruty
Ya nini?Hongera mkuu
Mashallah....Moza huyo pictures from her ig pageView attachment 927253View attachment 927254
Ndiyo maana anakaaga uchi mtandaoniFaiza ana akili kuliko Joyce kiria
Doh... Moza Ally M.?Mi namuona kama kachanganyikiwa vile mwanaume anamrusha roho[emoji26]
Na huyo Moza mambo yake super sijui kama kilewo atabanduka leo or kesho!
Poor Joy
Huwa inafika mahali haisameheki...jamaa anaweza kulea watoto hata kama hawapo pamojaWale watoto bado wadogo ...for the sake of children Kilewo angemsamehe!
Yap yap....Doh... Moza Ally M.?
Ni kweli mkuu....Huwa inafika mahali haisameheki...jamaa anaweza kulea watoto hata kama hawapo pamoja
Jamaa.anaweza kuwalea hata kama wameachanaMi simuonei huruma ujue....my concern ni kwa watoto bado wadogo...
Kale katoto hata mimi nakatamanigi sana.Yap yap....
Muombe ukawaleeWatoto wao sasa wale bado wadogo..duuh