Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Wakati mwingine nafikiria wanawake hawapendi kuwa mama wa familia na kufanya majukumu yake...nahisi kuolewa sasa hivi ni kama wanalazimishwa ila sio inatoka moyoni
 
Hapo nakua najihudumia mwenyewe
Kwa hio kuishika na kuilengesha kwenye tundu unalolitaka ni kujihudumia na umesema mwanaume hana mikono kwanini usimwambie aishie mwenyewe aiingize anapopataka?
 
kila la heri kwake, ila kwa kucha hizo naamini makalio na sehemu yake ya kukojolea vitakuwa na ukurutu,fangasi na ukoko sugu kwa kushindwa kujiswafi vizuri.....pathetic
 
Inasikitisha sana ,Joyce amekuwa kama bamia ,anaharibikia Ukubwani ,kwenye hesabu kuna topic inaitwa Geometry ambapo kulikuwa na GP and AP,yaani unajua namba inayofuata ,kama DJ Nelly na Henry Kilewo walishindwa basi hadi huyo NGAPULILA ataelekea naye kibra.
 
Kiria kwanza ni mchaga so hawezi jua mambo ya mapenzi na maana ya mume. Yeye ni flat screen kuliko huyo mume.

Mume anaonekana kama ndo demu na demu ni kama mwanaume alovaa kikekike
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-22-15-49-44-66.jpg
    308.7 KB · Views: 4
Kama kweli wewe ni mshika dini na mtu wa Mungu, "Eva aliumbwa ili aje kumsaidia Adamu "
 
Kwa kucha hizo Nabet.....zivu kama lote huko chini kwa bibi kuna yale maziwa mtindi ukichomeka na kuchomoa asipotumia manukato panya kafa,wanaomtetea bila kupepesa sifa hizo wanazo ila nimebet tu.
 
Hakuna kitu na enjoy kama kumuhudumia mume wangu sitaki aguse hata kijiko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Joyce kiria nasema wewe ni mjinga kwani mumeo hana mikono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…