Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi.
Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu wa maisha, bali waingie kwa Upendo wa kweli.
Credit - HabariMtandaoni